Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,664
- 2,517
Hamia Halotel mbona simpo tuHili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100.
Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata MB 500. Wanaongeza gharama mara mbili? Hili suala ni counterproductive kwa uchumi. Serikali imefika mwisho wa kufikiri na imeona njia pekee ya kupata pesa ni kodi! Haya, hizi zikifika sehemu hazitoshi mtaongeza kwenye nini tena? Maana haichukui muda hizi tozo zinakuwa hazitoshi. Mtapata wapi zingine na mmekwamisha watu biashara, mnajua ukubwa wa biashara zinazofanyika mitandaoni?
Hata wakoloni hawakuwa kama nyinyi, mnakamua bila kulisha.