Hili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100.

Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata MB 500. Wanaongeza gharama mara mbili? Hili suala ni counterproductive kwa uchumi. Serikali imefika mwisho wa kufikiri na imeona njia pekee ya kupata pesa ni kodi! Haya, hizi zikifika sehemu hazitoshi mtaongeza kwenye nini tena? Maana haichukui muda hizi tozo zinakuwa hazitoshi. Mtapata wapi zingine na mmekwamisha watu biashara, mnajua ukubwa wa biashara zinazofanyika mitandaoni?

Hata wakoloni hawakuwa kama nyinyi, mnakamua bila kulisha.
Tupiganie katiba mpya la sivyo tutateswa sana na ccm.
 
Mkuu usiwe na shaka, hizi kampuni zitapigwa doro mpaka watakua wanapita barabarani na kutangaza gb 100 kwa elfu 2 mwezi mzima, starlink ya Elon Musk tayari imefika Nigeria sisi huku ni next year hapo mambo yanajipa speed wanasema ni 150Mbps ikishuka ni 50Mbps...
Ushenzi wanaoufanya wanafikiri dunia inawasubiri, watu wanakwenda mwezini sisi bado tunapambania bundle...
$99 mwezi mzima unlimited ni very cheap...
tusisahau pia mchina mkombozi wetu atakuwa hayupo nyuma kuja na suluhisho la upatikanaji rahisi na nafuu wa mtandao...
Ni Aibu kubwa kwa Mwafrika kuwa na Fikra za Kitumwa kwamba eti Mchina ni "Mkombozi" Futa huo ujinga wako Kichwani.
 
Silaha za kivita Afrika na hapa Tanzania tunatumia ndege jeshi za China mzee..., nenda kachukue boda ni Chinese, ukiwasha simu yako kama sio Tecno,Infinix, Huawei,Xiaomi useme ni iphone bado ni assembled in China mzee..., panda gari kwenda mikoani, barabara ya kila siku unayokwenda kazini ni Chinese hao, Radio unayosikiliza hapo ni Chinese, ukija kwenye nguo hizi brand kama african boy, viatu, mitumba ni Chinese mzee, hiko kikombe cha udongo hebu fanya kukiangalia kwa chini uone made in where ni Chinese huyoo...,
Tuacheni majivuno ambayo hayana tija, mnadanganywa ni utumwa wakati ukweli ndio huo, mchina katufungulia dunia afrika, Kariakoo pale bidhaa 90% ni Chinese mzee baba, huyo ndio anafanya maduka yamesheheni bidhaa...

Uwanja wa Taifa, Malls nyingi hapa nchini, majengo mbali mbali ... ni Chinese yaani kila nikisema kitu malizia "Chinese"
Mnajifaragua wakati hamna lolote, siasa kwenye kila kitu, kuna jamaa mmoja humu alisema Mwafrika ni kima aliyechangamka🤣🤣🤣, najua watu inawatia hasira mpaka wanafikia hatua ya kujitusi sababu ya watu wachache hasa viongozi ambao wanawaza kutumia sijui nini..
 
Mkuu usiwe na shaka, hizi kampuni zitapigwa doro mpaka watakua wanapita barabarani na kutangaza gb 100 kwa elfu 2 mwezi mzima, starlink ya Elon Musk tayari imefika Nigeria sisi huku ni next year hapo mambo yanajipa speed wanasema ni 150Mbps ikishuka ni 50Mbps.

Ushenzi wanaoufanya wanafikiri dunia inawasubiri, watu wanakwenda mwezini sisi bado tunapambania bundle.

$99 mwezi mzima unlimited ni very cheap tusisahau pia mchina mkombozi wetu atakuwa hayupo nyuma kuja na suluhisho la upatikanaji rahisi na nafuu wa mtandao.

Mnadanganywa kirahisi sana.
 
Mchina amekuwa mkombozi wa watanzania? Kivipi mkuu
 
Mnajifaragua wakati hamna lolote, siasa kwenye kila kitu, kuna jamaa mmoja humu alisema Mwafrika ni kima aliyechangamka, najua watu inawatia hasira mpaka wanafikia hatua ya kujitusi sababu ya watu wachache hasa viongozi ambao wanawaza kutumia sijui nini..
Chinese
 
Mchina amekuwa mkombozi wa watanzania? Kivipi mkuu
Kwa sababu tunatumia bidhaa walizotengeneza wao kwa wingi zaidi...
miundo mbinu kwenye uchukuzi na mawasiliano ndio usiseme, hapo kariakoo tafuta duka halina bidhaa za China nakupa 10000...
Mchina hakwepeki sasa, tuanzeni kujifunza ki China ..., boda boda hizi ndio usiongee kabisa... tv sasa ndio utakimbia kabisa...
pasipo yeye wa Tanzania wangapi mlikuwa na pesa ya ku affor iphone 13 ambayo na yenyewe pia imepita mikononi mwao, vianda 98% vya electronics USA uzalishaji ni China... naweza ongea hapa mpaka kesho...

China ni mkombozi hilo tusibishe...
 
Silaha za kivita Afrika na hapa Tanzania tunatumia ndege jeshi za China mzee..., nenda kachukue boda ni Chinese, ukiwasha simu yako kama sio Tecno,Infinix, Huawei,Xiaomi useme ni iphone bado ni assembled in China mzee..., panda gari kwenda mikoani, barabara ya kila siku unayokwenda kazini ni Chinese hao, Radio unayosikiliza hapo ni Chinese, ukija kwenye nguo hizi brand kama african boy, viatu, mitumba ni Chinese mzee, hiko kikombe cha udongo hebu fanya kukiangalia kwa chini uone made in where ni Chinese huyoo...,
Tuacheni majivuno ambayo hayana tija, mnadanganywa ni utumwa wakati ukweli ndio huo, mchina katufungulia dunia afrika, Kariakoo pale bidhaa 90% ni Chinese mzee baba, huyo ndio anafanya maduka yamesheheni bidhaa...

Uwanja wa Taifa, Malls nyingi hapa nchini, majengo mbali mbali ... ni Chinese yaani kila nikisema kitu malizia "Chinese"
Mnajifaragua wakati hamna lolote, siasa kwenye kila kitu, kuna jamaa mmoja humu alisema Mwafrika ni kima aliyechangamka🤣🤣🤣, najua watu inawatia hasira mpaka wanafikia hatua ya kujitusi sababu ya watu wachache hasa viongozi ambao wanawaza kutumia sijui nini..
Regardless of all tje bullshit you have broke down..Wachina sio wakombozi wako bali ni wanyonyaji kama tu kama wengine. Mchina anakuja Afrika kuchuma na sio kukufaidisha wewe, vyote ulivyovisifia ni Bogus...leo hii Afrika tulitakiwa yote hayontufanye wenyewe na sio kutegemea wachina.
 
Mkuu usiwe na shaka, hizi kampuni zitapigwa doro mpaka watakua wanapita barabarani na kutangaza gb 100 kwa elfu 2 mwezi mzima, starlink ya Elon Musk tayari imefika Nigeria sisi huku ni next year hapo mambo yanajipa speed wanasema ni 150Mbps ikishuka ni 50Mbps.

Ushenzi wanaoufanya wanafikiri dunia inawasubiri, watu wanakwenda mwezini sisi bado tunapambania bundle.

$99 mwezi mzima unlimited ni very cheap tusisahau pia mchina mkombozi wetu atakuwa hayupo nyuma kuja na suluhisho la upatikanaji rahisi na nafuu wa mtandao.

Monthly subscription of $99 and $499 for the Starlink kit (start kit)...

Mzee baba bado watumiaji hapo watakuwa ni maofisi, na watu binafsi wenye mpunga mrefu
 
Juzi nkasema ngoja nijirushie elfu 5 kutoka bank kuja Tigopesa ..yaan makato elfu 3 serious...
Screenshot_20211006-152609.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usiwe na shaka, hizi kampuni zitapigwa doro mpaka watakua wanapita barabarani na kutangaza gb 100 kwa elfu 2 mwezi mzima, starlink ya Elon Musk tayari imefika Nigeria sisi huku ni next year hapo mambo yanajipa speed wanasema ni 150Mbps ikishuka ni 50Mbps.

Ushenzi wanaoufanya wanafikiri dunia inawasubiri, watu wanakwenda mwezini sisi bado tunapambania bundle.

$99 mwezi mzima unlimited ni very cheap tusisahau pia mchina mkombozi wetu atakuwa hayupo nyuma kuja na suluhisho la upatikanaji rahisi na nafuu wa mtandao.
Hapa nimekuelewa Sana,the opportunity of today haiwezi kuwa ya kesho

Back
Top Bottom