DIA kupandisha gharama za kuegesha gari kwa asilimia 100 sio sahihi

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
687
1,000
Wana JF leo nimestuka sana baada ya kukutana na tangazo la kupanda gharama za kuegesha gari pale DIA kutoka 1000 hadi 2000 kuanzia tarehe 1/8. Ninaomba JNIA wajibu haya maswali
1.Gharama gani za uendeshaji ambazo zimepanda kwa asilimia 100?
2.kikawaida nilitegemea wangeenza kucharge baada ya dk 15. Lkn hata ukipack dakika2 bado unatakiwa kulipia hiyo elfu2.
3.Jee kama kupandisha bei ni kutokana na ku discourage watu wasiende na magari yao. Jee wametupa alternative ya kwenda kiwanjani? Kuna njia ya tren ya kutifikisha pale?
Jee mabasi mbona hayaruhusiwi kuingia na kushusha abiria?
Huu ni uonevu mkubwa kwa sis watumiaji wa uwanja?

Hatuna njia nyingine ya kufika uwanjani zaid ya kutumia usafiri binafsi.
Bado wanataka tulipie elfu mbili kwa saa. Hata ukikaa dk1 lazima ukipie elfu2.
 
Attachments

  • 20160720_105148.jpg
    File size
    245.7 KB
    Views
    65

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
687
1,000
Kichwa kinauma....
Acha kabisa mkuu.. inauma sana. Na sis wasafiri hatuna hata chama cha kutetea maslai yetu. Watu wengi wanadhan wenye magari tuu ndio watakaoumia. Lkn hawajui hata wakichukua tax tuu lazima dereva aongeze 2000 extra. Halafu assume umemfuata mgeni wako ndege ikachelewa. Ukikaa 3hrs unatakiwa kulip elfu 6
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,695
2,000
Wana JF leo nimestuka sana baada ya kukutana na tangazo la kupanda gharama za kuegesha gari pale DIA kutoka 1000 hadi 2000 kuanzia tarehe 1/8. Ninaomba JNIA wajibu haya maswali
1.Gharama gani za uendeshaji ambazo zimepanda kwa asilimia 100?
2.kikawaida nilitegemea wangeenza kucharge baada ya dk 15. Lkn hata ukipack dakika2 bado unatakiwa kulipia hiyo elfu2.
3.Jee kama kupandisha bei ni kutokana na ku discourage watu wasiende na magari yao. Jee wametupa alternative ya kwenda kiwanjani? Kuna njia ya tren ya kutifikisha pale?
Jee mabasi mbona hayaruhusiwi kuingia na kushusha abiria?
Huu ni uonevu mkubwa kwa sis watumiaji wa uwanja?

Hatuna njia nyingine ya kufika uwanjani zaid ya kutumia usafiri binafsi.
Bado wanataka tulipie elfu mbili kwa saa. Hata ukikaa dk1 lazima ukipie elfu2.
Kwanini watu wasitumie treni mpya iliyojengwa na Mwakyembe na Shumake? Treni mpya Airport kwenda Mjini
 
trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
687
1,000
T
Wanataka gari zikae nyumbani mjini uje wewe tu! Hivi ukiliacha sehemu siku nzima watataka kiasi gani vile?!
Tatizo hakuna alternative ya kwenda uwanja wa ndege wa DSM. Lazima utumie gari ndogo au tax. DALDALA Haziruhusiwi kuingia. Kwa hiyo huna jinsi
 
Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,948
2,000
Hivi kwani lazima uingie na gari mpk pale ndani? mbona kuna kituo cha daladala pale karibu tu? hakuna haja ya kulalama huku bwana, mimi huwa napanda daladala tu nafika nitakako,labda kama mtu ni mgonjwa au mlemavu sawa
 
trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
687
1,000
Hivi kwani lazima uingie na gari mpk pale ndani? mbona kuna kituo cha daladala pale karibu tu? hakuna haja ya kulalama huku bwana, mimi huwa napanda daladala tu nafika nitakako,labda kama mtu ni mgonjwa au mlemavu sawa
Mkuu wakati mwingine ni usiku. Vile vile mara nyngine unakuwa na mizigo? Utafikaje pale na Mizigo?
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,096
2,000
Wangeweka hata elfu tano kama kungekuwa na public transport ambayo ni efficient. Sasa wanaadhibu watu kwa sababu ipi? Huwezi kusema una discourage watu kwenda na magari wakati hakuna namna mbadala. Hiyo kampuni ni ya nani? Ni jipu hilo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom