Umeongea ukweli mtupu. Naunga mkono hoja.Wa kutoa shukurani ni mchepuko au ni wewe ?
Wewe ndio umeomba starehe, wewe ndio uli mwaproach. umelipia huduma, akushukuru kwa lipi, ugali wa lodge?
Amekaa kimaslahi. Wewe ndio umefata maslahi ya ngono. Yeye hajakufata umpe maslahi!
We ulitaka umlale bure bure akijua kabisa uhusiano hauna mbele wala nyuma, halafu yeye ndio akwambie wewe ahsante ? Hata sex slave hatoi ahsante. Asante umemjengea, au asante akupe ya wewe kumlala yeye? ?
1,000,000 parefuHiyo 120k ni ndogo, labda kama hauzingatii daraja
Kuna Kei nyingine bila kugharamia 4 to 5 stars hotel hujamvua
Imagine unalipia room pekee 300k, ukiongeza food and drinks 230k
Ukiweka na uchakavu wake 350k
Kamilioni kale kanaenda
Kule Kijijini unapata ekari 10 kwa shilingi laki laki
Anyways, wacha tuzoee kula maharage miaka 60 ya Ndoa π
Hizo gharama zote mzee mwenzangu inabidi mtu ahakikishe familia yake iko well-off, maana kuspend na nwanamke huku nyumbani kunanuka ufukara, ndugu na wazazi wanakufa njaa ni dhambiHiyo 120k ni ndogo, labda kama hauzingatii daraja
Kuna Kei nyingine bila kugharamia 4 to 5 stars hotel hujamvua
Imagine unalipia room pekee 300k, ukiongeza food and drinks 230k
Ukiweka na uchakavu wake 350k
Kamilioni kale kanaenda
Kule Kijijini unapata ekari 10 kwa shilingi laki laki
Anyways, wacha tuzoee kula maharage miaka 60 ya Ndoa π
Umesema sahihi Mzee mwenzanguHizo gharama zote mzee mwenzangu inabidi mtu ahakikishe familia yake iko well-off, maana kuspend na nwanamke huku nyumbani kunanuka ufukara, ndugu na wazazi wanakufa njaa ni dhambi
Kuna Wanaume wenzetu wanajua kuhonga Mkuu1,000,000 parefu
Mkuu umegusa penyewe, chumba cha 30 silali.1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000
Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
Duuh noma sana, ila anyway ukikumbuka ipo siku utakufa mtu anaona ajipe raha vile aonavyoKuna Wanaume wenzetu wanajua kuhonga Mkuu
Nina rafiki yangu, yeye kila Ijumaa anaagiza demu mjini akimkatia tiketi ya Ndege to-from
Hapo kwa haraka haraka hakosi kutumia 1,800k kila wiki
Manake yeye anaagizaga hawa celebrities ambao dau lao sio chini ya 800k, ukiplus Ndege na hotel
1,800k ile inaenda π
Ni kweli MkuuDuuh noma sana, ila anyway ukikumbuka ipo siku utakufa mtu anaona ajipe raha vile aonavyo
Imekaaje elezea kidogoNina cousin yng nimepanga kumchata kwa dau la 500k + nauli
400k ila yey amekomalia 1M + nauli mpk sas tumekwamia apo π
Duh huyo rafiki yako anafanya biashara gani.. atakua ni bilionea GrahamsKuna Wanaume wenzetu wanajua kuhonga Mkuu
Nina rafiki yangu, yeye kila Ijumaa anaagiza demu mjini akimkatia tiketi ya Ndege to-from
Hapo kwa haraka haraka hakosi kutumia 1,800k kila wiki
Manake yeye anaagizaga hawa celebrities ambao dau lao sio chini ya 800k, ukiplus Ndege na hotel
1,800k ile inaenda π
Yaani niliwah jiulizs hili swali ππnikimpa mtu elf 20 lazima ajielezee sana kwakweli ningewezajeNikikutana na hizi mambo najiuliza ningekuwa mwanaume ningeweza kweli?
I mean how comes raha mpate wote lakini gharama zote ziwe juu yangu??na asante kwa kuja 50K juu
I see being a man is tough