Hadi muda huu hakuna tv station iliyofanya uzito wa hili janga so sad, ni bongo fleva tu, hivi ingelipuka kambi ya upanga wangekaa kimya? Tatizo ni wanahabari??wamiliki?? Au hadi wapate ruksa baada ya kuchuja. Daaah nnahasira, then kova anasema uvumi, uzushi unawachanganya wananchi, si watoe tamko la kueleweka?? I wish wahanga waunganishe hadi ikulu. Time will tell.