Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,926
Nauli, bado vyakula....Swaibaaa umesahau na MAJI je...!!!:angry:
Nauli, bado vyakula....Swaibaaa umesahau na MAJI je...!!!:angry:
Hawa wenye hizi TV LABDA mpaka ziwe kampeni za siasa, wahongwe au walipwe na UNDP ndo wataonesha!
Ahahahaaah!!jk achia ngazi . Nina hasira ya kufa . Natafuta bom nakuja nalo ikulu straight
Kova anatoa macho TBC,
Anasema kuna watu wanavumisha eti watu wanakimbia hovyo na watoto wamepotea
pumbafuuuu
Maandishi yalipita kwenye screen kama mara nne hivi kabla ya Aljaazeera. Tusubiri zaidi kesho[/QUOT
ITV hawajaonyesha muda mrefu nimesikilizia redio 1, inasikitisha!!
Kova anasema TBC kwamba askari wote wa polisi wameitwa kazini na wako barabarani hata wale wa intelijensia! My foot!
Only it would sound if someone stepped down!Tuta pigwa siasa tu. Viogngozi wata ahidi kufanya uchunguzi, waathirika wata ahidiwa vijisenti. Wananchi wakiongea sana itaanzishwa "kamati". Do you expect anything new?
Bila kusahau na pale Upanga,Hivi pale lugalo hakuna silaha, kama zipo siku zikilipuka si itakuwa kizaazaa...
Hivi Kova ni msemaji wa JWTZ?