Waungwana nipo mitaa ya hapa jet lumo mabomu ktk ghala ya polisi ya ukonga yanalipuka yani angani kuna mataa kama ya baruti au mafataki,lol tz tunaenda wapi?
Bila kusahau na pale Upanga,
Nawashauri wakazi walio karibu na hayo makambi wakae kimagutu kama si kuhama hayo maeneo
Tunasubiri ya Lugalo sasa!
saa hizi wanachakachua majibu ya kutuletea kesho kwa runinga, na kama wataunda tume itaundwa
Utafikiri yeye ndio Mwamunyange eti ni ajali,ajali anaijua anafikiri hayo ni madawa ya kulevya au ujambazi,same thing in two years halafu unasema ajaliHajui mipaka yake, kazi sio kuwa na ofisi tuu na gari zuri la kutembelea
Naona anatakiwa kuitizama Contract yake ya kazi na kuielewa vyema
If we have no clue on how to store explosives we should not own them.
Ahahahaaah, nao wajiandae!Bila kusahau na pale Upanga,
Nawashauri wakazi walio karibu na hayo makambi wakae kimagutu kama si kuhama hayo maeneo
wale wazee wa Dar wako wapi?Haiwezekani bwana Tanzania ni nchi ya AMANI NA UPENDO mbona raia wake hawachukui hatua kama hawapendezwii!!! :coffee::coffee::coffee:
Wawapelekee na huduma ya kwanza sio unaenda kulaza watu kwenye uwanja kama vile unalaza ng'ombe kwenye ziziHii serikali bana!!! Nimesikia Radio One saa hii kuwa wamefungua Uwanja wa Taifa ili watu wa maeneno ya Gongo la Mboto wakalele huko!!
Wanaenda kulala bila nguo wala nini!!!
tume lazima iundwe...Mhusika mi nasema hivi...! Nimeshachoa kuona kodi yangu inavyotumika vibaya na TUME zako, sitaki tena tume ninataka mawajibiko.
Hizo tume baki nazo mwenyewe zitakusaidia ktk maisha yako binafsi sisi hazitusaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii