Get Well Soon Kipipi

Mmmmmmmmmmmmmmh
Kazi ipo

Kwa hiyo ndo kama tulivokubaliana au ushageuka? Siuelewi huu mshangao wako ujue? Au ndo kama ulivosema utakuja kuzuga wasishtuke? You are genius.... Soma upesi hii post kabla sijaidiliti manake wanaa wakiisoma watatustukia.
 
Hivi unatafuta nini Asprin ?
Paw nisaidie kumpa adabu huyu jamaa anamtaka shem wako Chocs
 
Last edited by a moderator:
Mi staki kucheza tena na wewe. Una mikono michafu kama Paulo. Btw umenionea wapi cacico? Mwambi nimemmisi kama nlivoimisi keki ya harusi yetu
Hahahaaa
hamkuipiga picha hiyo cake?
Siku hizi kuna converter za kila aina km pdf to word n.k
So hata keki inawezekana
 
Last edited by a moderator:
Hivi unatafuta nini Asprin ?
Paw nisaidie kumpa adabu huyu jamaa anamtaka shem wako Chocs
Hahahah Paw cha mtoto. Akileta za kuleta namshtakia kwa King'asti anamnyima kabaaaang kwa wiki mbili tu baioloji yake inasizi. Atakoma kuringa na ban zake (on serious note Paw, am just playing lol)
 
Last edited by a moderator:
Kaguaaaaaaa
Mi nauguza
hivi platozoom yu wapi

Naaam! Niende wapi miye! Halaafu kwa taarifa yenu, yaani nasema kwa taarifa yenu, Asnam chai
ya Asubuhi ya jana kainywea kwangu...............Mtoto yule alivyo mchimvi!! nyie hangaikeni tu

Weraweraaaaaa..... Yule dogo platozoom ubishi wake ulimponza alienda kukagua visivyokagulika matokeo yake kaibuka na kansa ya mdomo. Toto bishi sana lile. Linakula bila kunawa wakati vijiko vipo.

Shemeji yangu Madame B ndiye kasababisha yoote, ile miti miwili ya kipago kama gogo la sufi
nikazama kichwa kizima, ile kuibuka tu jicho moja alijojo na mdomo umeumuka. Ukitaka raha lazima pate tabu ati!
Kumbe toto lenyewe lishakaguliwa kitaamboooo!

Halafu ndiyo wikend inaishia hivyoo...........!
 
Last edited by a moderator:
Asprin tumefikia wapi apa?
Orayt Chocs ukuye umjibu homii wangu hapa. Vigezo na masharti vizingatiwe tafazali. Ukimwaga mboga namwaga ugali na kachumbari si unakumbuka hatukutumia naniliyu ile siku?
 
Last edited by a moderator:
heeee
kijana umerudi?
Lol ling time aiseee
Huyo Asnam labda wa kuchora
 
Last edited by a moderator:
Orayt Chocs ukuye umjibu homii wangu hapa. Vigezo na masharti vizingatiwe tafazali. Ukimwaga mboga namwaga ugali na kachumbari si unakumbuka hatukutumia naniliyu ile siku?
ukifanikiwa kwa Chocs nahamia airtel
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…