Get Well Soon Kipipi

naona sasa kaka umenichoka sana atena sana majuzi tu nilikualika kwenye party ya birthday yangu pantoniki kwa mumewangu laazizi swahiba wa moyo@Mentor ukaja huku meno yote yako nje kwa furaha tele tena leo umeniwekea uzi hapa? UMENICHOKA asante siwezi ongea sana mm namwachia Mungu
Hahahahaaa una hasira za kumkosa Mrembo by Nature ? ladyfurahia ? Catherine ? au nani?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mi ninachojua umemwaga ukahamia zako Airtel ( Excellent )
 
Last edited by a moderator:
sitaki kuamini kaka unanipeleka machinjioni mchana kweupeeee................

Wewee nimekusubiri saana, umeona, nshampa mahari braza ako imebaki mimi na wewe kuweka mambo sawa.... sawa baby...!!!
 
Okey ni jambo jema kusikia anaendelea vema....!
Pitia basi hapa kwangu uchukue walau kapesa ka kuku!
Halafu unamuita Chocs aisee siunajua ana wivu sana nitashindwa kummembeleza mgonjwa wangu!

We dogo chunga viatu vyako sawa..... usinifanye nitunge sheria ya kwako tu. unamwita aje achukue pesa ndo janja yako ili akifika uzime taa, jiangalie wewe...
 
Last edited by a moderator:
We dogo chunga viatu vyako sawa..... usinifanye nitunge sheria ya kwako tu. unamwita aje achukue pesa ndo janja yako ili akifika uzime taa, jiangalie wewe...
Hahahahaaa
Akifika mwenyewe ndio atazima bila kuambiwa Baba V
Hivi Mama v hayupo eeeh naona hali ya baridi inakutesa sana mwenyekiti
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…