Halafu manoah mbona kaweka makaburi?
Anatuchuria nini aiseee?
Hahahahaaaa
heheheee!!ashindwe na alegee
ajichurie yy mwenyewe,kwa jina la yesu
khaaa mtoto ana balaa huyo!!
dogo hujambo lakini!!
Hahahahaaaa
Mi niko poa sana aisee nawaza kwenda kujipumzisha kwa Kipipi hadi apone kwanza.
Vip Ruttashobolwa hajambo?
love n' miss u mingi darling!!!
Okey ni jambo jema kusikia anaendelea vema....!hii inadhihirisha leo hujalala nyumbani sijui umelala kwa Chocs,kapata nafuu kidogo ila ukiongeza pesa ya soup atapona kabisa..
tuma bhana kwenye tigo pesa yake loh karne hii nani anafunga safari kuja kuchukua pesa ww...............unanitia aibu.Okey ni jambo jema kusikia anaendelea vema....!
Pitia basi hapa kwangu uchukue walau kapesa ka kuku!
Halafu unamuita Chocs aisee siunajua ana wivu sana nitashindwa kummembeleza mgonjwa wangu!
Lol haya shem wangu nimekusoma tena kwa nguvu sana!tuma bhana kwenye tigo pesa yake loh karne hii nani anafunga safari kuja kuchukua pesa ww...............unanitia aibu.
Lol haya shem wangu nimekusoma tena kwa nguvu sana!
Ila leo nahisi sitakuja kwa mgonjwa maana hadi sasa niko kwenye foleni teh
Halafu hivi huyo kaka yako mbona muhuni sana?