Hahahahaaa Vin Diesel hana ubavu kwanguNadhani siku ukiachwa unaweza ukahama mji hahaah...angekuwepo Vin Diesel ningemuomba afanye fitna kidogo walau ubakie na mmoja
Sijambo
Naona siku za mwisho zimekaribia
Umeshajijengea maisha ya baadae?
HahahahahahUkiudhika tu nione nikakuliwaze again....
We jifanye umechanganyikiwa,shauriloKumbe ulisema ni siri, ok, vigezo na masharti kuzingatiwa...
Hahahahahaaaaa
Haya chukua Mrembo by Nature faster kabla sijabadili mawazo
Ah ule ulikuwa xtreme ukaguzi sasa nataka nikufanyie ukaguzi mpya kwa staili ya kabaaang.
hahaha namtundhia hubby wangu.
Here you are...!! nilikuwa nimekumiss sana, kuna habari nataka tu officiate..... stay tuned....kaa mkao wa kuliwa...
Hahahahaaa kwanza nakushtakia kwa ummu kulthum kuwa unamtaka Asnam