Get Well Soon Kipipi

hubby nimeitika maana umeniita! kama ni kunywa tunywe popote hubby but not ambrosia! naogopa kukuta firigisi zangu zimetangulia mochware! mi luv u hubby! Asprin!

Unaogopa ambrosia wataku mlay... ile ni ajali kazini....
 
Last edited by a moderator:
Ni nini kinaendelea hapa?
Asprin anakutaka na kama akifanikiwa basi nahamia Airtel yan namaanisha kamwe hatokupata na km haamini amuulize kiwatengu anakujua vema wewe sio wa kushobokea watu...bali una penzi la kweli kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Mbona juzi hatukunatana!? au dawa ya Erickb52 ime ikspaya!!!? lini tena..!?
Baba V na wewe mwenyekiti unawatamani raia wako?
Lol nilidhani baba wa nyumba anakuwa na heshima kwa wanafamilia ila naona unavizia mabinti wako lol
Angalia usijeishia hadi kwa Mahausi geli
 
Last edited by a moderator:
Asprin anakutaka na kama akifanikiwa basi nahamia Airtel yan namaanisha kamwe hatokupata na km haamini amuulize kiwatengu anakujua vema wewe sio wa kushobokea watu...bali una penzi la kweli kwangu.
Mwambie kabisa sidanganyiki na bingo wala nini
Kwako ndo nshafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…