life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Pole sister Charmy; get well soon na uinuke salama salmini.
Mkuu na Mpenzi wa jamhuri ya TZ... Kumbe Dua'a na maombi yanauzito na nguvu ya kukuponya harakaeee?!! Tumepata faraja yakuruhusiwa kwako.... God bless you babyee!Wapendwa wanafamilia ya JF, Namshukuru Mwenyezi Mungu nimeruhusiwa, pia nawashukuru kwa sala na dua zenu....
Mungu awabariki....
Upone haraka, nakuombea.
Wapendwa wanafamilia ya JF, Namshukuru Mwenyezi Mungu nimeruhusiwa, pia nawashukuru kwa sala na dua zenu....
Mungu awabariki....
Asante sana mkuu....