CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habari za jioni waungwana....
Nasikitika kuwaataarifu kuwa Mzee Mtambuzi anaumwa na yuko nyumbani tangu Jumatatu hajaweza kwenda katika shughuli zake....
Alikuwa na dalili za dengue fever lakini vipimo havikionesha, kwa sasa anaendelea na dawa za kupunguza maumivu.
Tumuombee kwa Mwenyezi Mungu apate afueni aendelee na ujenzi wa taifa....
Taarifa hii iwafikie wafuatao:- watu8, lara 1, Mndengereko, Asprin, KakaKiiza, Isumbwile, miss neddy, Munkari, Ruttashobolwa, Nicas Mtei, Elizabeth Dominic, Remmy, Ben Mugashe, amu, @C6, mwallu, Paloma, gfsonwin, snowhite, Madame B, AshaDii na wanajf wooooote wenye mapenzi mema na Mzee Mtambuzi

Last edited by a moderator: