Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
Mgonjwa anahitaji uji na si chai Tyta
mkuu Mtambuzi...uji mambo ya kiswahili...hapo ukimwongezea charminglady. na bagia za mia tatu,anasahau kama aliumwa kabisa...
Mgonjwa anahitaji uji na si chai Tyta
Yes mpendwa. Wewe je?
nasubiri kwa hamu unikamate......:dance::dance:
:A S-frusty::A S-frusty:ngoja tumwombee mgonjwa kwanza apone haraka
Mgonjwa kumbe umeshatoka!!!!!
nilikuwa nataka kesho nikuje hospital