Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Hello wanajamii!
Mwenzetu Lady doctor anaumwa hivyo nawaomba kwa pamoja tushirikiane kumpa faraja na kumuombea apone haraka!
Shem namuomba Mungu akushushie mkono wake wa uponyaji upone haraka!
Ugua pole Lady doctor
Cc: Arushaone watu8 Mr Rocky kiwatengu Bishanga The secretary Mamndenyi Mr Rocky Filipo Mungi Avemaria shansarie C6 charminglady Blaki Womani figganigga amu Paloma sosoliso Kaizer DEMBA mimi49 Baba V Arabela nitonye LiverpoolFC Mzee wa Rula Slave zubedayo_mchuzi stevoh Heaven on earth GRAfan11 Chocs Ben Saanane na wote wanajamii ambao sijawamention!

Wakuu kusema kweli shemeji yenu/wifi yenu Lady doctor anaumwa na tumbo, madaktari wamempima wamemkuta na tatizo la food poison ambalo hutokana na vyakula tuvilavyo hasa mboga za majani zilizowekwa mbolea za viwandani muda mfupi kabla ya kuvunwa na kuuzwa au matunda and so on.
Alimeza dawa jana ila leo ndio amefanyiwa vipimo kwa kina baada ya hali yake kutobadilika sana baada ya dawa za jana.
Sasa ameshatumia dawa na amelala, nitawajulisheni hali yake baadaye.