gollocko
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 2,945
- 2,275
Unauhakika madame, usije fungiwa miezi mitatuWakati wa kampeni tulihakikishiwa gesi kuwa haitapanda bei
Unauhakika madame, usije fungiwa miezi mitatuWakati wa kampeni tulihakikishiwa gesi kuwa haitapanda bei
Uchumi unapaa haswa.Usijali ndio kukua kwa UCHUMI kwa 7.3%
Mbona bei hizi zina muda mrefuuuuuuuuFuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani
Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000
TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
Utasubiri sanaHivi hii ile gas ya mtwara vipi!?
Butane ndo gas gani mkuuPoa poa natumia butane
Basi mwezi huu itapanda tenaHiyo bei sisi huku tabora ilianza mwez wa pili mwaka huu. Na mtungi mkubwa 54,000 na mdogo 23,000
mama hizo zilipendwa.Wakati wa kampeni tulihakikishiwa gesi kuwa haitapanda bei
Ile gesi ya mtwara bomba lake linavuja au?
Kweli uchumi wa vi-wonder unaimarika
Ina komaa katika umri gani?Ile ya Mtwara bado haijakokomaa, subiri.
i kapandisha nadhani ni baadhi ya maeneoFuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani
Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000
TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
Dar gunia la mkaa 70-80Mkaa bei gan sa hv
Wapi hiyo bei?gunia 30/- had 40
Na hilo gunia linamaliza mwezi?Dar gunia la mkaa 70-80
Vitoto vya gunia 15