Gesi kwa matumizi ya nyumbani yapanda bei kuanzia leo

Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani

Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000

TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
Mbona bei hizi zina muda mrefuuuuuuuu
 
nan
Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani

Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000

TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
i kapandisha nadhani ni baadhi ya maeneo
 
Back
Top Bottom