sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,980
- 4,986
wakati gesi haijavumbuliwa mtwara mbona bei ilikuwa chini ukilinganisha na baada ya uvumbuzi
Gesi tunayouziwa ndani ya mitugi ni gesi ya petrol LPG inatoka nje.
Gesi ya Tanzania ipo katika muundo wa CNG sio LNG.
HAINA MAANA KWAMBA HAIWEZI KUTUMIKA,SHIDA KUNA VIHIYO TOKEA WIZARA HADI TPDC.Wana degree nyingi lakini hawana uzoefu ni vimeo.