Gesi kupanda tarehe 6 Feb 2017

Gesi kupanda tarehe 6 Feb 2017

Hii nchi ina matatizo makubwa sana kiuongozi, hawajui wafanye lipi wakati gani ili kufikia mikakati na malengo wanayoweka. Wamekuwa wanahimiza sana nishati mbadala haswa matumizi ya gesi ili kuokoa mazingira. Sasa badala ya kusaidia huo mkakati kwa kuondoa kodi kwenye gesi na ikibidi kutoa ruzuku ili kuhakikisha malengo yao yanafikiwa wao wanaenda kinyume kabisa
 
Kwa mwendo huu ngoja nisogeze mbele muda wa kuoa maana si kwa maisha haya nilivyo bachelor kwa mwaka natumia mitungi miwili ya kg 15 nikioa inakuwa kila mwez mtungi mmoja
Hahaaa acha woga, we kaoe utapata maarifa ya ziada
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiii tuende wapi jamani?
Gesi kutoka elfu 17-18 hadi 21-22?
Hapo bado vyakula vimepanda.
Dah!
Mkuu njoo kwenye umeme kuna mbinu mpya ya kutumia umeme kiduchu ni kupikia sufuria la umeme ambalo ni multpurpose humalizi hata elfu 10 kwa mwezi
 
Mkuu njoo kwenye umeme kuna mbinu mpya ya kutumia umeme kiduchu ni kupikia sufuria la umeme ambalo ni multpurpose humalizi hata elfu 10 kwa mwezi
Mhhhhhhhh hii ikoje mkuu?
 
Mkuu njoo kwenye umeme kuna mbinu mpya ya kutumia umeme kiduchu ni kupikia sufuria la umeme ambalo ni multpurpose humalizi hata elfu 10 kwa mwezi
WEKA PICHA NA BEI MKUU UWASAIDIE WANANCHI
 
Mkuu njoo kwenye umeme kuna mbinu mpya ya kutumia umeme kiduchu ni kupikia sufuria la umeme ambalo ni multpurpose humalizi hata elfu 10 kwa mwezi
Siookishoka lakini
 
hapakaziii
 
Attachments

  • FB_IMG_1486297905320.jpg
    FB_IMG_1486297905320.jpg
    13.3 KB · Views: 34
Siookishoka lakini
SI KISHOKA MKUU.NI SUFURIA ZUR AINA YA " ORCHID",NI KAMA PRESSURE COOKER LIKISHA CHEMSHA KWA100 C° UNAZIMA LINAENDELEA KUIVISHA UNAWEZA PIKA,OKA,CHEMSHA,KAANGA N,K
 
Back
Top Bottom