Gesi kupanda tarehe 6 Feb 2017

Gesi kupanda tarehe 6 Feb 2017

Mawakala wa gesi wametumiwa msg leo kuanzia tarehe 06/02/2017

Bei ya gesi zinapanda rasmi

Moja ya meseji inasema gesi kubwa itanunuliwa Tshs. 47,000 na kuuzwa kuanzia Tshs.52,000-53,000 kwa Kg.15

Kg 6 Kununuliwa Tshs. 18,500 na kuuzwa Tshs.21,500-22, 000

Tunaomba wanandugu msishangae ongezeko la bei maana nasi tumeongezewa bei

Kila. La kheri February
Bora gesi ipande bei ili tupunguze matumizi ya mkaa... maana misitu ilikuwa inateketea kwa sababu ya matumizi makubwa ya gesi..
 
Nazi nazo tunampango wa kupandisha bei ili ukose vifuu vya kutosha.
Kidumu chama tawala ssm.
Tutatumia gesi asilia iliyoko vyooni mwetu (methane) yaani gesi ushuzi kwa kiswahili fasaha
 
Mimi nikakoishi huku wana ccm wengi hizo gesi zumewashinda hata mkaa wanapikia vufuu,then wanasema sisi watumishi ni chadema so tunasomeshwa namba,Ccm wengi ni wale masikini masikini kwa huku vijijini
Miongoni mwa hao maskini huna ndugu? Au wewe ni born here here?
 
Hii gesi tunayotumia ni ile ya mtwara ama ni nyingine?? Maana tuliambiwa gesi ya mtwara ikianza kutoka maisha yatakuwa rahisi kwa gesi na umeme..
 
Kwa mwendo huu ngoja nisogeze mbele muda wa kuoa maana si kwa maisha haya nilivyo bachelor kwa mwaka natumia mitungi miwili ya kg 15 nikioa inakuwa kila mwez mtungi mmoja
Utakufa uache watoto wakiwa wadogo. Hesabu ni muhimu maishani.
 
Kwani gesi sasa hivi inauzwa bei gani ? He. Bei ya gesi bukoba na Dar ni ile ile kama umeme ? He. Hii gesi inatoka wapi ?
 
Back
Top Bottom