Bia murua yenye ubora castle larger nayo wamepandishwa bei,ni shs 2,700.00Mawakala wa gesi wametumiwa msg leo kuanzia tarehe 06/02/2017
Bei ya gesi zinapanda rasmi
Moja ya meseji inasema gesi kubwa itanunuliwa Tshs. 47,000 na kuuzwa kuanzia Tshs.52,000-53,000 kwa Kg.15
Kg 6 Kununuliwa Tshs. 18,500 na kuuzwa Tshs.21,500-22, 000
Tunaomba wanandugu msishangae ongezeko la bei maana nasi tumeongezewa bei
Kila. La kheri February
HAHAHAAAA USINICHEKESHE JANA NILIKUWA NAWASHIKAJI NAPATA REDBULLYANGU JAMAA WAKANYWA CASTLE LAGER WAMEMALIZA WAKO WANNE WANAOMBA CASTLELAGER WAKAAMBIWA CASH 2700 NIKACHEKA SINAMBAVUU IKABIDI NIAGIZE REDBULL MBILI FASTER WASIJE PANDISHA NAZO....Bia murua yenye ubora castle larger nayo wamepandishwa bei,ni shs 2,700.00
Hahaaa daah, mkuu inabidikusifiatu sasa hakuna namna.Jamaa amekuja na baraka....
Mimi nikakoishi huku wana ccm wengi hizo gesi zumewashinda hata mkaa wanapikia vufuu,then wanasema sisi watumishi ni chadema so tunasomeshwa namba,Ccm wengi ni wale masikini masikini kwa huku vijijiniIkumbukwe Tu Kwamba Ongezeko Hili Halitawakumba WanaCCM. Hivyo Acha Wapinzani Waisome Namba.
Malafyale, huwezi ona waccm wakikemea jambo lolote linalowakandamiza wanchi,yaani umaskini wetu ndo mtaji wa ccmHivi gesi haina wadau ambao wanatakiwa wakae na kujadiliana kuhusu bei, EWURA na Muhongo msije mkakana kwamba hamna taarifa, Mara ya kwanza aliwaonea aibu likataeni hili.
Tumesha pigwa na wawekezaji tayari gesi si yetu tena ni ya wazunguNdio tujue unuhinu wa mikataba ya hii gesi yetu na wawekezaj/wajenzi wa bomba la gesi.
Jinsi nilivofulia mabega yameanza enda juu kama mapembe ya shetani,biashara zimebuma na huku kazini tumepigwa pini no ongezeko la salary no kupanda madarajaKweli tutaishi kama mashetani...
Taratibu nimejikuta nimeanza kuwa na mapenzi mubashara na ulanziBia murua yenye ubora castle larger nayo wamepandishwa bei,ni shs 2,700.00
Hii nchi ya ajabu sana.wakati gesi haijavumbuliwa mtwara mbona bei ilikuwa chini ukilinganisha na baada ya uvumbuzi
Hii nchi ya ajabu sana.
Sauti ya mnyonge!!!!Uwiiiiiiiiiiiiiiii tuende wapi jamani?
Gesi kutoka elfu 17-18 hadi 21-22?
Hapo bado vyakula vimepanda.
Dah!