Rais Samia na Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Msigwa hamuoni Aibu kwa Unafiki huu na Dhambi hii?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Rais Samia na Katibu Mkuu wake wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa Pesa za Kuchezea na mpaka za kutoa Magoli ya Mama kwa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Taifa Stars ipo muda wowote hata kama ikiwa ni Shilingi Milioni Mia Mbili hadi Shilingi Milioni Mia Tano.

Ila Serikali ya Rais Samia na Katibu Mkuu wake Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kuigharamia tu Timu ya Taifa ya Netiboli Shilingi Milioni Ishirini isafiri nchini Botswana Kushiriki Michuano mikubwa na ya Kimataifa haina na Wizara (chini ya Katibu Mkuu wake wa Gerson Msigwa) wamewaambia Wavunje Kambi na Warembo (Wanawake) hao warejee Makwao.

Halafu kwa Upuuzi huu MINOCYCLINE nikizishangilia Timu za Mataifa mengine (kama nilivyoishangilia Morocco jana) zikicheza na Tanzania (Taifa Stars) naonekana Mkorofi, nina Chuki, Msaliti na siyo Mzalendo kwa Taifa langu.

Na kwakuwa Rais Samia, Serikali yako na Chama chako cha CCM kwa Makusudi mmeamua Kuingiza Siasa katika Mpira (hasa Taifa Stars, Yanga SC na Simba SC) tusiotaka Unafiki na Upuuzi huu tumeshaamua kuwa kuanzia sasa tutazishangilia tu Timu zote za Kigeni ambazo zitakuja Kucheza na Tanzania (Taifa Stars) na Wengine tuliorithi Uganga na Uchawi (MINOCYCLINE nikiwemo) nitairoga pia ili isifanye vyema na itolewe mapema katika Michuano yake mbalimbali.

Yaani Shilingi Milioni Ishirini tu za Kuwapa / Kuwasaidia Timu ya Taifa ya Netiboli hamna na mmewanyima ila Fedha za Kuwapa wale Wanaobeba Mabango yenye Picha za Rais Samia na Chama chake cha CCM ipo na MINOCYCLINE nimedokezwa huwa kiasi cha Shilingi Milioni Thelathini hadi Hamsini hutengwa kwa Zoezi hili la Mabango ya Kumpamba Rais Samia na CCM yake hutengwa kama Bajeti yake.

Endeleeni tu kuwafanya / kutufanya Watanzania wote ni Mazuzu / Wapumbavu ila kumbukeni tu kuwa Oktoba, 2025 siyo mbali na mnaweza msiamini kwa ambacho huenda Kikatokea na ambacho kitakuwa ni Matokeo ya Unafiki wenu na Dharau zenu na naamini mtajifunza na Kubadilika huku mkiwa nje kama Serikali ya Chama cha Mapinduzi ( CCM )
 
Rais Samia na Katibu Mkuu wake wa hovyo hovyo Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa Pesa za a Kikatokea na ambacho kitakuwa ni Matokeo ya Unafiki wenu na Dharau zenu na naamini mtajifunza na Kubadilika huku mkiwa nje kama Serikali ya Chama cha Mapinduzi ( CCM )
Aisere nchianzania ni tajiri sana!
Rais Samia na Katibu Mkuu wake wa hovyo hovyo Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa Pesa za Kuchezea na mpaka za kutoa Magoli ya Mama kwa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Taifa Stars ipo muda wowote hata kama ikiwa ni Shilingi Milioni Mia Mbili hadi Shilingi Milioni Mia Tano.

lika huku mkiwa nje kama Serikali ya Chama cha Mapinduzi ( CCM )
Rais Samia ana pesa mingi sana!
 
Mkuu lazima ufahamu mpira wa miguu una sifa zaidi kwa nchi kuliko netiboli. Hii ndio sababu kuu na sio kuwa netiboli inadharauliwa.
 
Rais Samia na Katibu Mkuu wake wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa Pesa za Kuchezea na mpaka za kutoa Magoli ya Mama kwa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Taifa Stars ipo muda wowote hata kama ikiwa ni Shilingi Milioni Mia Mbili hadi Shilingi Milioni Mia Tano.

Ila Serikali ya Rais Samia na Katibu Mkuu wake Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kuigharamia tu Timu ya Taifa ya Netiboli Shilingi Milioni Ishirini isafiri nchini Botswana Kushiriki Michuano mikubwa na ya Kimataifa haina na Wizara (chini ya Katibu Mkuu wake wa Gerson Msigwa) wamewaambia Wavunje Kambi na Warembo (Wanawake) hao warejee Makwao.

Halafu kwa Upuuzi huu MINOCYCLINE nikizishangilia Timu za Mataifa mengine (kama nilivyoishangilia Morocco jana) zikicheza na Tanzania (Taifa Stars) naonekana Mkorofi, nina Chuki, Msaliti na siyo Mzalendo kwa Taifa langu.

Na kwakuwa Rais Samia, Serikali yako na Chama chako cha CCM kwa Makusudi mmeamua Kuingiza Siasa katika Mpira (hasa Taifa Stars, Yanga SC na Simba SC) tusiotaka Unafiki na Upuuzi huu tumeshaamua kuwa kuanzia sasa tutazishangilia tu Timu zote za Kigeni ambazo zitakuja Kucheza na Tanzania (Taifa Stars) na Wengine tuliorithi Uganga na Uchawi (MINOCYCLINE nikiwemo) nitairoga pia ili isifanye vyema na itolewe mapema katika Michuano yake mbalimbali.

Yaani Shilingi Milioni Ishirini tu za Kuwapa / Kuwasaidia Timu ya Taifa ya Netiboli hamna na mmewanyima ila Fedha za Kuwapa wale Wanaobeba Mabango yenye Picha za Rais Samia na Chama chake cha CCM ipo na MINOCYCLINE nimedokezwa huwa kiasi cha Shilingi Milioni Thelathini hadi Hamsini hutengwa kwa Zoezi hili la Mabango ya Kumpamba Rais Samia na CCM yake hutengwa kama Bajeti yake.

Endeleeni tu kuwafanya / kutufanya Watanzania wote ni Mazuzu / Wapumbavu ila kumbukeni tu kuwa Oktoba, 2025 siyo mbali na mnaweza msiamini kwa ambacho huenda Kikatokea na ambacho kitakuwa ni Matokeo ya Unafiki wenu na Dharau zenu na naamini mtajifunza na Kubadilika huku mkiwa nje kama Serikali ya Chama cha Mapinduzi ( CCM )
Tutajie jina/majina ya timu za netball mafanikio yao ya nchi Kama Brazil, Italy, Spain, UAE, USA n.k
Ili nasi tupate shauku ya kusapoti Netball.

Bora ungesema Volleyball..
 
Back
Top Bottom