Pongezi kwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

red label

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
354
700
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Wizara ya utamaduni ,Sanaa na michezo Kwa yafuatayo..

  • Waziri Ndumbaro
  • Naibu Waziri Mwinjuma
  • Katibu Gmsigwa

Niko mbali Sana vijijini Ila nimejionea mechi ya Jana,set-up, arrangement. Pre -match performance, imekuwa amazing sana 🙏.

Uteuzi wenu kwenye hii wizara tulijua mtaleta mabadiliko ya kisasa. Kongole nyingi sana.

Naomba sana hii serikali ihakikishe mnakuwa madarakani hadi Afcon kuanzia maandalizi mtaiweka nchi kwenye ramani. Sisi mashabiki wa siasa alichokifanya Mama Samiah kuwateua, hakukosea.

Congratulations and Keep it up 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom