KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,853
- 4,853
Amezoea kutoa Habari feki ndio maana
😂😂😂Amezoea kutoa Habari feki ndio maana
Tuliza tu akili uisome na kutazama kideo kwa utulivu, ndugu yangu. Kuna jambo hapo.sijaelewa ina tatizo gani?
Kaka wamebaki wapenda sifa tu huko, smart ni wachache sana 2 out of 100.Imagine huwa mnasema ni TISS.
Yaani kitengo kina watu wabovu kiasi cha kushindwa kujua hata editing nyepesi namna hiyo? Tena kwa ambaye amefanya kazi Ikulu kitengo cha habari?
Aisee! Disgusting!