Gerson Msigwa, mwanahabari nguli, anaswa na mtego wa habari potoshi

Imagine huwa mnasema ni TISS.

Yaani kitengo kina watu wabovu kiasi cha kushindwa kujua hata editing nyepesi namna hiyo? Tena kwa ambaye amefanya kazi Ikulu kitengo cha habari?

Aisee! Disgusting!
Kaka wamebaki wapenda sifa tu huko, smart ni wachache sana 2 out of 100.
 
Back
Top Bottom