DENLSON
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 944
- 1,253
Mlipo ambiwa andikeni katiba mpya, jengeni taasisi imara mlishupaza shingo mkijua boss wenu ataishi milele. Haya ni matokeo ya nchi kukosa taasisi imara zinazoweza kusimamia maslahi ya nchi na ukosefu wa katiba inayoweza kumuajibisha kiongozi yeyote anapo kwenda kinyume na miongozo iliyopo.Mnajua hata tukisema tunalipenda taifa hili kwa kusifia kila jambo anafanya Rais au viongozi wa kisiasa bila kifikiri nje ya box sitoshangaa ipo siku giza litalikumba Taifa hili na kila mtu aliopo leo huwenda asiwepo na uwenda yale maneno aliwahi sema Mzee Wakaya JK yakawa kweli.
Wajukuu kutafuta makaburi ya mababu zao nakufukua mafuvu na kuyachapa kwa makosa yalifanyika kipindi cha uongozi wao.
Hivi kweli samahani sana hivi kweli matajiri wa Tz wamechangia royal Tour ya Rais wa jamuhuri ya watu wa Tz na high level officer include number one anatoka mbele nakusifia matajiri wazalendo?
Mungu natubu kwa Taifa langu yani kweli ndugu zangu wa maadili ya umma mnakubaliana eti matajiri wamemchangia Rais royal tour ehe alafu kesho waliochangia mabilion mnapower kuwaambia walipe kodi au kuwazuwia wasipandishe bei wanavyo taka?
Sorry we lost the way. Hata kama hili taifa ni masikin kiasi gani hiki kitendo cha matajiri kuchangia royal tour italigharimu Taifa kwa muda usio julikana ila pia hata alio waita naku organise uwenda akawa nawakati mgumu mbeleni.
Ofisi ya Rais kwa mujibu wakatiba na tume ya maadili niofisi hapaswi pokea asante au hongera kwa aina hii ya uchangishaji. Hakuna pesa yatajiri inatoka bila kuwa na rtn. Labda uniambie pasingekuwa na miongozo ya viomgozi na watumishi wa umma. Kama mtakumbuka kuna kiongoz aliwahi pewa jiwe na mnakumbuka jinsi lile jiwe lilisumbua tume ya maadili leo amekuja kiongozi amechangisha matajiri na ameitangaza Tz.
Kesho unakwenda na Agency notice unataka mapato jibu lake litakuwaje?
Hivi nani ametuloga mbona kama hatuwoni chochote na kila mtu anapiga makofi while taasisi ya Rais imejiingiza kwenye mgogoro wa kikatiba yani matajiri wanaichangia royal tour while vitu vinapanda at speed ya chita nani analaumiwa?
Haya nimemaliza
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app