Gerald Hando & Babra Hassan Msiogope Jamii Forums!

Gerald Hando & Babra Hassan Msiogope Jamii Forums!

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,787
Punde hivi, nikiwa naskiliza kipindi chenu Power breakfast.

Nimekusikia Hando ukimuuliza Babra kama hua anatembelea Jamii Forums. Eventhough sikumsikia Babra akitoa jibu la moja kwa moja, kwamba hua anatembelea mara kwa mara, ama kwa nadra. Aidha nikakusikia ukimwambia Babra kwamba wewe (Gerald) unapaogopa sana Jf, kwa sababu watu wa hapa ni wakali mno!

Na kwamba ukileta mawazo yalio tofauti tu , kidogo na ya Ma'member wa hapa wanakuchambuaje!. Na hicho ndiyo kinachokufanya uwe unachungulia tu, na kuumwaga! Nichukue fursa hii kuwaambia karibuni Jamii Forums kwa mapana.

Hapa ni mahala salama, na pana mengi ya maana na ya faida tofauti na unavyofikiri. Achana na kuchungulia, tia maguu yote, mlete na babra, dinna, PJ, Gea, ikibidi na Jahazi lote livute lije.
 
Mtu mwenye mawazo mgando hawezi kutia maguu humu,ukipindisha unanyooshwa,usiponyoosheka mwenyewe utapaona pa moto humu na mwisho utakuwa unasoma comments za watu tu,then unajikataa
 
Hivi Gerald Hando ni Gwanda au Gamba? :rockon:
 
Hivi Gerald Hando ni Gwanda au Gamba? :rockon:

A Muppet maybe.........

Gator2.jpg
 
haina ubaguzi wanakaribishwa sana hapa ni kuelimishana wasiogope
 
Hando ana ushahabiki wa kipuuzi sana nahisi atakuwa gamba.Siku alipokuwa anairusha clip ya Rwakatari alionesha anavoichukia CDM.Mtu mwenye kufanya reasoning asingeikomalia vile.Jamaa ana maneno ya kimbea sana
 
pande hz haziwezi yeye ataishia kuendesha Jahazi na Gamba lake! JF siyo pande za viraza.
 
Hando? bora PJ sometime huwa ana reason ila si Hando ..eti mwanae anamsumbua kila wakati anamuulizia ile video ..hovyo!
 
Clouds na watu wake wote toka wapewe deal la kuandaa birthday party na magogoni na mshikaji wao wanajiona kama sehemu ya serikali sijui papaa muzee ya safari mingi ni shareholder pale.Just thinking loud
 
They are most welcome, but they should be prepared to swallow the truth.
We are not afraid of anything, we dare to talk openly.
 
Back
Top Bottom