George Soros na Open Society yake ni maadui wanaokutana na usalama wa Taifa makini wenye kuijua kazi yake

Steven Joel Ntamusano

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
8,787
Reaction score
5,535
Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA.

George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya silaha wakati vizee vya kiukraine vikiuliwa bila ya hatia yoyote pamoja na watoto na wajukuu zao walioamua kwenda kuishi Ulaya Magharibi.

Huyu mzee ni adui wa serikali nyingi duniani, kwake uwepo wa machafuko ni uhakika wa maisha ya leo na kesho!. Hajali wingi wa yatima wanaotokana na vita, hajali umasikini wa kupindukia unaokuwepo baada ya rasilimali pesa nyingi kutumika katika kuiendesha vita zisizo na ulazima wowote.

Mmiliki wa taasisi ya Open Society anatamani sana aweze kupenyeza chuki kwa serikali ya Tanzania ili afanye biashara haramu yenye pesa nyingi ya mauzo ya silaha.

Mwangi alipokamatwa kakutwa na dola laki nne, huyo dada wa kiganda kakutwa na madola mengi tu, walikuwa wanazipeleka wapi hizi pesa?. Wote wawili pamoja na Martha Karua na wale wengine watatu waliozuiliwa uwanja wa ndege ni waajiriwa wa Open Society ya Mzee George Soros!.

Tanzania tuna idara imara sana ya usalama wa Taifa, ipo kazini saa 24 ipo macho hailali. Hizo pesa walizoshikwa nazo hawa wanaharakati ndio zinagawiwa kwa madalali wao wengine wadogo wadogo ambao hawaoni taabu kutetea mengi wasiyoyajua na wengine ni sehemu ya huo mgao wa pesa zinazotoka kwa Soros.

Tupo imara kwenye ulinzi pia tupo na Mwenyezi Mungu siku zote.

Nchi iliwekwa kwenye ulinzi wa mikono ya Muumba siku moja kabla ya uhuru hawezi kuiacha ikachafuliwa na pesa haramu za Mzee dhalimu wa kimarekani.
 
Kama walikutwa na hela si ni za kwao? Kama wanadhani kuna mahala walikuwa wakizipeleka kwanini wasisubiri waweze kuwaj7a hao waliopaswa kuzipokea hizo hela ili uongo mnaojaribu kuutengeneza uweze kupata mashiko?
Mlivyowatupa mliwatupa na hizo hela zao? Au ndiyo mnathibitisha kuwa ninyi ni majambazi kweli?
 
Mnaonea watu then unakuja kulialia hapa. KAMA NI USALAMA BASI NI MJINGA TUU
 
Mifumo ya kiusalama haifanyi kazi kadri matakwa yetu yanavyodhania.
 
Mnaonea watu then unakuja kulialia hapa. KAMA NI USALAMA BASI NI MJINGA TUU
Hii case ni sawa na ile ya JK aliyebadilisha viongozi wa tume mwezi mmoja kuelekea uchaguzi wa 2025, wakati RIP Lowassa alishawaambia masuala ya tume ya uchaguzi wamuachie yeye keshayamaliza.

Inteligensia yetu ipo makini sana.
 
Kuuza silaha ni biashara kama biashara yeyote mkuu, lakini pia anaefanya mauaji ni mtu na sio silaha
Mabeberu ni washenzi sana, huwa hawajali mauaji anayeyafanya ni nani, ukosefu wa amani kule DRC ni faida kwa biashara za wauza silaha, ni faida pia kwa ustawi wa biashara kubwa za madini.
 
Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA.

George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya silaha wakati vizee vya kiukraine vikiuliwa bila ya hatia yoyote pamoja na watoto na wajukuu zao walioamua kwenda kuishi Ulaya Magharibi.

Huyu mzee ni adui wa serikali nyingi duniani, kwake uwepo wa machafuko ni uhakika wa maisha ya leo na kesho!. Hajali wingi wa yatima wanaotokana na vita, hajali umasikini wa kupindukia unaokuwepo baada ya rasilimali pesa nyingi kutumika katika kuiendesha vita zisizo na ulazima wowote.

Mmiliki wa taasisi ya Open Society anatamani sana aweze kupenyeza chuki kwa serikali ya Tanzania ili afanye biashara haramu yenye pesa nyingi ya mauzo ya silaha.

Mwangi alipokamatwa kakutwa na dola laki nne, huyo dada wa kiganda kakutwa na madola mengi tu, walikuwa wanazipeleka wapi hizi pesa?. Wote wawili pamoja na Martha Karua na wale wengine watatu waliozuiliwa uwanja wa ndege ni waajiriwa wa Open Society ya Mzee George Soros!.

Tanzania tuna idara imara sana ya usalama wa Taifa, ipo kazini saa 24 ipo macho hailali. Hizo pesa walizoshikwa nazo hawa wanaharakati ndio zinagawiwa kwa madalali wao wengine wadogo wadogo ambao hawaoni taabu kutetea mengi wasiyoyajua na wengine ni sehemu ya huo mgao wa pesa zinazotoka kwa Soros.

Tupo imara kwenye ulinzi pia tupo na Mwenyezi Mungu siku zote.

Nchi iliwekwa kwenye ulinzi wa mikono ya Muumba siku moja kabla ya uhuru hawezi kuiacha ikachafuliwa na pesa haramu za Mzee dhalimu wa kimarekani.
HIKI NI KITUKO
 
Kama walikutwa na hela si ni za kwao? Kama wanadhani kuna mahala walikuwa wakizipeleka kwanini wasisubiri waweze kuwaj7a hao waliopaswa kuzipokea hizo hela ili uongo mnaojaribu kuutengeneza uweze kupata mashiko?
Mlivyowatupa mliwatupa na hizo hela zao? Au ndiyo mnathibitisha kuwa ninyi ni majambazi kweli?
Pesa za Soros hazina nafasi humu TZ. Samia kawaambia huo ujinga fanyeni huko huko kwenye mataifa yaliyokwisha kubali kuharibiwa mifumo yake ya kimaisha.
 
Hajali wingi wa yatima wanaotokana na vita, hajali umasikini wa kupindukia unaokuwepo baada ya rasilimali pesa nyingi kutumika katika kuiendesha vita zisizo na ulazima wowote.

Mmiliki wa taasisi ya Open Society anatamani sana aweze kupenyeza chuki kwa serikali ya Tanzania ili afanye biashara haramu yenye pesa nyingi ya mauzo ya silaha
Hiki kifungu kina kunanga wewe na ajenda zako but.
 
Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA.

George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya silaha wakati vizee vya kiukraine vikiuliwa bila ya hatia yoyote pamoja na watoto na wajukuu zao walioamua kwenda kuishi Ulaya Magharibi.

Huyu mzee ni adui wa serikali nyingi duniani, kwake uwepo wa machafuko ni uhakika wa maisha ya leo na kesho!. Hajali wingi wa yatima wanaotokana na vita, hajali umasikini wa kupindukia unaokuwepo baada ya rasilimali pesa nyingi kutumika katika kuiendesha vita zisizo na ulazima wowote.

Mmiliki wa taasisi ya Open Society anatamani sana aweze kupenyeza chuki kwa serikali ya Tanzania ili afanye biashara haramu yenye pesa nyingi ya mauzo ya silaha.

Mwangi alipokamatwa kakutwa na dola laki nne, huyo dada wa kiganda kakutwa na madola mengi tu, walikuwa wanazipeleka wapi hizi pesa?. Wote wawili pamoja na Martha Karua na wale wengine watatu waliozuiliwa uwanja wa ndege ni waajiriwa wa Open Society ya Mzee George Soros!.

Tanzania tuna idara imara sana ya usalama wa Taifa, ipo kazini saa 24 ipo macho hailali. Hizo pesa walizoshikwa nazo hawa wanaharakati ndio zinagawiwa kwa madalali wao wengine wadogo wadogo ambao hawaoni taabu kutetea mengi wasiyoyajua na wengine ni sehemu ya huo mgao wa pesa zinazotoka kwa Soros.

Tupo imara kwenye ulinzi pia tupo na Mwenyezi Mungu siku zote.

Nchi iliwekwa kwenye ulinzi wa mikono ya Muumba siku moja kabla ya uhuru hawezi kuiacha ikachafuliwa na pesa haramu za Mzee dhalimu wa kimarekani.
Kwahio agather katumwa na George soros,Pia Na Boniface pia Na TUNDU LISSU??? kam unaangalia wapi mabeberu wametufunga kifungo cha MADENI ambayo tukiangalia Wapi tunaelekea Kwa Haya Madeni Utajua Beberu kashika je nchi yako
 
Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA.

George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya silaha wakati vizee vya kiukraine vikiuliwa bila ya hatia yoyote pamoja na watoto na wajukuu zao walioamua kwenda kuishi Ulaya Magharibi.

Huyu mzee ni adui wa serikali nyingi duniani, kwake uwepo wa machafuko ni uhakika wa maisha ya leo na kesho!. Hajali wingi wa yatima wanaotokana na vita, hajali umasikini wa kupindukia unaokuwepo baada ya rasilimali pesa nyingi kutumika katika kuiendesha vita zisizo na ulazima wowote.

Mmiliki wa taasisi ya Open Society anatamani sana aweze kupenyeza chuki kwa serikali ya Tanzania ili afanye biashara haramu yenye pesa nyingi ya mauzo ya silaha.

Mwangi alipokamatwa kakutwa na dola laki nne, huyo dada wa kiganda kakutwa na madola mengi tu, walikuwa wanazipeleka wapi hizi pesa?. Wote wawili pamoja na Martha Karua na wale wengine watatu waliozuiliwa uwanja wa ndege ni waajiriwa wa Open Society ya Mzee George Soros!.

Tanzania tuna idara imara sana ya usalama wa Taifa, ipo kazini saa 24 ipo macho hailali. Hizo pesa walizoshikwa nazo hawa wanaharakati ndio zinagawiwa kwa madalali wao wengine wadogo wadogo ambao hawaoni taabu kutetea mengi wasiyoyajua na wengine ni sehemu ya huo mgao wa pesa zinazotoka kwa Soros.

Tupo imara kwenye ulinzi pia tupo na Mwenyezi Mungu siku zote.

Nchi iliwekwa kwenye ulinzi wa mikono ya Muumba siku moja kabla ya uhuru hawezi kuiacha ikachafuliwa na pesa haramu za Mzee dhalimu wa kimarekani.
Propaganda za kizamani kweli acha uongo
 
Back
Top Bottom