George Soros na Open Society yake ni maadui wanaokutana na usalama wa Taifa makini wenye kuijua kazi yake

Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA.

George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya silaha wakati vizee vya kiukraine vikiuliwa bila ya hatia yoyote pamoja na watoto na wajukuu zao walioamua kwenda kuishi Ulaya Magharibi.

Huyu mzee ni adui wa serikali nyingi duniani, kwake uwepo wa machafuko ni uhakika wa maisha ya leo na kesho!. Hajali wingi wa yatima wanaotokana na vita, hajali umasikini wa kupindukia unaokuwepo baada ya rasilimali pesa nyingi kutumika katika kuiendesha vita zisizo na ulazima wowote.

Mmiliki wa taasisi ya Open Society anatamani sana aweze kupenyeza chuki kwa serikali ya Tanzania ili afanye biashara haramu yenye pesa nyingi ya mauzo ya silaha.

Mwangi alipokamatwa kakutwa na dola laki nne, huyo dada wa kiganda kakutwa na madola mengi tu, walikuwa wanazipeleka wapi hizi pesa?. Wote wawili pamoja na Martha Karua na wale wengine watatu waliozuiliwa uwanja wa ndege ni waajiriwa wa Open Society ya Mzee George Soros!.

Tanzania tuna idara imara sana ya usalama wa Taifa, ipo kazini saa 24 ipo macho hailali. Hizo pesa walizoshikwa nazo hawa wanaharakati ndio zinagawiwa kwa madalali wao wengine wadogo wadogo ambao hawaoni taabu kutetea mengi wasiyoyajua na wengine ni sehemu ya huo mgao wa pesa zinazotoka kwa Soros.

Tupo imara kwenye ulinzi pia tupo na Mwenyezi Mungu siku zote.

Nchi iliwekwa kwenye ulinzi wa mikono ya Muumba siku moja kabla ya uhuru hawezi kuiacha ikachafuliwa na pesa haramu za Mzee dhalimu wa kimarekani.
FIKIRIA VIZURI NA AMINI UTAONA HUU NI UJINGA UNAONGEA
TUNDU LISSU ALIPIGWA RISAS NA WATU WASIOJULIKANA LENGO KUONDOA MAISHA YAKE UNADHANI LISSU ANAJULIKANA SINGIDA TU?
COMMON SENSE TUMIA TAJIRI AMLIPE MWANAHARAKTI KUFANYA UGAIDI HIVI UNAYO AKIL? UNAONA PESA NI ZAKUCHEZEWA KISA ZIPO?
WANAHARAKT WALE WANAMJALI MWANAHARAKT HUYU..!!
UTASEMA LISSU KACHAGULIWA KUWA KATIBU MWENYEKITI (IDU) ILI VITA ITOKEE??
KUNAMTU KASEMA UMEONGEA RUBBISH LAKINI HII NI LOW IQ KIASI KWAMBA UNAWEZA TRAIN AKILI YAKO UKAWAZA NJE YA MAWAZO HAYO ILA OPINION NI MATAKO KILA MTU ANAYO..
 
Kuna mengi yanayotokea nyuma ya pazia ambayo mamlaka hazina sababu ya kuyaweka wazi. Huu ni mwaka wa uchaguzi usitegemee mawakala kina Lissu na Karua watakuwa wanafurahia amani ya TZ.
 
Kuna watu wameichoka amani tuliyonayo daima wanawaonea wivu Congo mashariki, Ukraine na Gaza wanavyoishi, kuharibu amani ni kitu rahisi saana shida ni kuirudisha....
Huyo Mwangi wamemkuta madola mengi yanatoka kwa Soros, hata yule mama waliyemzuia pale Airport pia kipindi hiki ana pesa nyingi zinazotoka kwa huyo huyo Mzee mshenzi wa kimarekani.
 
anamchukia muuza majeneza badala kupambana na ugonjwa kabla kifo
Ugonjwa tunaendelea kupambana nao, haswa kwa kuuzuia pale uwanja wa ndege ili usiwafikie madalali wengi wanaofanya kazi za wazungu wenye mioyo ya kishenzi.
 
Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA.

George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya silaha wakati vizee vya kiukraine vikiuliwa bila ya hatia yoyote pamoja na watoto na wajukuu zao walioamua kwenda kuishi Ulaya Magharibi.

Huyu mzee ni adui wa serikali nyingi duniani, kwake uwepo wa machafuko ni uhakika wa maisha ya leo na kesho!. Hajali wingi wa yatima wanaotokana na vita, hajali umasikini wa kupindukia unaokuwepo baada ya rasilimali pesa nyingi kutumika katika kuiendesha vita zisizo na ulazima wowote.

Mmiliki wa taasisi ya Open Society anatamani sana aweze kupenyeza chuki kwa serikali ya Tanzania ili afanye biashara haramu yenye pesa nyingi ya mauzo ya silaha.

Mwangi alipokamatwa kakutwa na dola laki nne, huyo dada wa kiganda kakutwa na madola mengi tu, walikuwa wanazipeleka wapi hizi pesa?. Wote wawili pamoja na Martha Karua na wale wengine watatu waliozuiliwa uwanja wa ndege ni waajiriwa wa Open Society ya Mzee George Soros!.

Tanzania tuna idara imara sana ya usalama wa Taifa, ipo kazini saa 24 ipo macho hailali. Hizo pesa walizoshikwa nazo hawa wanaharakati ndio zinagawiwa kwa madalali wao wengine wadogo wadogo ambao hawaoni taabu kutetea mengi wasiyoyajua na wengine ni sehemu ya huo mgao wa pesa zinazotoka kwa Soros.

Tupo imara kwenye ulinzi pia tupo na Mwenyezi Mungu siku zote.

Nchi iliwekwa kwenye ulinzi wa mikono ya Muumba siku moja kabla ya uhuru hawezi kuiacha ikachafuliwa na pesa haramu za Mzee dhalimu wa kimarekani.
Jibu hoja ya Gwajima wameuwawa watu 80 je polisi hawajui? Au unasubilia auwawe mtoto wa Samia,Abdul
 
Huyo Mwangi wamemkuta madola mengi yanatoka kwa Soros, hata yule mama waliyemzuia pale Airport pia kipindi hiki ana pesa nyingi zinazotoka kwa huyo huyo Mzee mshenzi wa kimarekani.
ONGEA NA STATISTICS DOLLAR NGAPI NI NYINGI MAANA MTANZANIA NI MASKINI WA FEDHA NA AKILI
 
TAJIRI TENA NI ( GEORGE SOROS )AMEMLIPA MWANGI,AGATHER KUFANYA UGAIDI NDIO UNACHOSEMA..
Hao wote wapo kwenye payroll ya Soros, kuja Tanzania kusikiliza kesi ni sehemu ya kazi wanazotuma report kwa tajiri kuonyesha nini wanachokifanya kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania.
 
Jibu hoja ya Gwajima wameuwawa watu 80 je polisi hawajui? Au unasubilia auwawe mtoto wa Samia,Abdul
Hakuna nchi duniani isiyo na vifo vya ajabu ajabu, kuanzia Marekani mpaka kwenye hivi visiwa vidogo.

Uharamia ni sehemu ya maisha ya kidunia, sio kila unyama una uhusiano wa moja kwa moja na mamlaka za kiserikali.
 
pumbafu kama mnaidara makini mbona mmeshindwa kuwakamata wasiojulikana bora machafuko yatokee ilitupate ukombozi wa kweli
 
Huyo Mwangi wamemkuta madola mengi yanatoka kwa Soros, hata yule mama waliyemzuia pale Airport pia kipindi hiki ana pesa nyingi zinazotoka kwa huyo huyo Mzee mshenzi wa kimarekani.

NIJIBU HILI SWALI
GEORGE ANATAKA AWAUZIE MASKINI SILAHA AU ANATAKA KUWAUZIA POLISI SILAHA?? MAANA UNAMAANISHA ANATAKA KUUZIA WANANCHI SILAHA WA TANZANIA ILA WENGI NI MASIKINI... TETEAA UJINGA ULIONGEA
 
Kwahio agather katumwa na George soros,Pia Na Boniface pia Na TUNDU LISSU??? kam unaangalia wapi mabeberu wametufunga kifungo cha MADENI ambayo tukiangalia Wapi tunaelekea Kwa Haya Madeni Utajua Beberu kashika je nchi yako
Madeni yanalipwa kila kukicha, unyama anaoufanya Soros muda huu huacha madhara makubwa.

Mwaka 2005 kina Didier Drogba ilibidi wawapigie magoti wanasiasa wa Ivory Coast wakiwasihi waache vita zinazoua mamilioni ya raia wasio na hatia yoyote, madalali wa Soros kwenye ile nchi walikuwa wengi na mwanzo wao ni sawa na huu wa kina Karua na Mwangi wanapenyeza ajenda za kipuuzi ili watanzania tuanze kuharibiana maisha.
 
pumbafu wewe mtoa mada usalama wataifa kwa kuua watanganyika ama?
 
Back
Top Bottom