GE2025 George SimbaChawene can be the best PM if appointed

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;

1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana uhimilivu wa hoja kinzani.
3. Ana uwezo na utayari wa mijadala hasa kwenye hoja ngumu za kitaifa.
4. Nafikiri ni mcha Mungu.
5. Ni mnyenyekevu katika matamshi yake. (Sisi watanzania wa kawaida tusingependa kugombezwa ovyo na kutwezwa utu wetu).
5. Nafikiri mtajwa ni mzalendo.
6. Ninamtakia mafanikio.
Mbukoi Mbokom.
Ndio unamtia gundu !
 
Utadhani ni wewe unayejipigia promo! Nafasi ile inamtaka mfano wa Kassimu! Mkali asiye na mchezo na watumishi wazembe! Mwenye uwezo wa kufuatilia miradi na kuwawajibisha wanaokwamisha miradi.
Kipi aliweza zaidi ya drama tu. Kule Arusha aliealitea drama mkurugenzi na watu wake leo kiko wapi.
 
Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;

1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana uhimilivu wa hoja kinzani.
3. Ana uwezo na utayari wa mijadala hasa kwenye hoja ngumu za kitaifa.
4. Nafikiri ni mcha Mungu.
5. Ni mnyenyekevu katika matamshi yake. (Sisi watanzania wa kawaida tusingependa kugombezwa ovyo na kutwezwa utu wetu).
5. Nafikiri mtajwa ni mzalendo.
6. Ninamtakia mafanikio.
Mbukoi Mbokom.
Atafaa kwa Rais yupi
 
Hata mwenye kuteua huko anashangaa anaona madhara ya K vant kwa vijana. Critical thinkers wamepungua.
 
Bahati mbaya over.62 yrs of independence mbogamboga have proved failure even in commuter transport. Affordable and quality healthcare. Roads. Hakuna aliyebora wote wana shida
 
Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;

1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana uhimilivu wa hoja kinzani.
3. Ana uwezo na utayari wa mijadala hasa kwenye hoja ngumu za kitaifa.
4. Nafikiri ni mcha Mungu.
5. Ni mnyenyekevu katika matamshi yake. (Sisi watanzania wa kawaida tusingependa kugombezwa ovyo na kutwezwa utu wetu).
5. Nafikiri mtajwa ni mzalendo.
6. Ninamtakia mafanikio.
Mbukoi Mbokom.
Ndio maana Tanzania mashirika ya umma hayafanyi vizuri kutokana na kuteua watu bila kuwasaili. Tunadhani kumwangalia mtu anavyotembea, kula na kuongea basi atakuwa mkurugenzi mzuri. Umemwangalia simbachawene ukakaa pekee yako ukahitimisha kuwa anafaa kuwa PM!
 
Tumekubaliana Waziri Mkuu awe MH Dr Dotto Mashaka Biteko, Mbunge wa Bukome mkoani Geita. Mnyenyekevu na mcha Mungu.
 
Wewe Simbachawene Acha kujipigia promo.
Kwanza ukilewaga makonyagi huwa unatoa siri za serikali.
 
Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;

1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana uhimilivu wa hoja kinzani.
3. Ana uwezo na utayari wa mijadala hasa kwenye hoja ngumu za kitaifa.
4. Nafikiri ni mcha Mungu.
5. Ni mnyenyekevu katika matamshi yake. (Sisi watanzania wa kawaida tusingependa kugombezwa ovyo na kutwezwa utu wetu).
5. Nafikiri mtajwa ni mzalendo.
6. Ninamtakia mafanikio.
Mbukoi Mbokom.
Ni kwa sababu ni team Msoga,
Ndio sababu sababu ya Mastermind wao kumtaka na ilikuwa iwe kabla ya uchanguzi wa 2025.
 
Back
Top Bottom