Naendelea tu kuwaza, What if kuna Conspiracy dhidi ya Rais wetu na dhidi ya Uchumi wetu…? II

Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,466
2,860
Wakati EL anatangaza nia kugombea Urais kwa chama cha Mapinduzi (CCM) aliweka wazi kuwa vijana kukosa ajira ni bomu; ila hakusema litalipuka lini. Haraka sana Waziri wa Ajira wakati huo mama Gaudensia Kabaka alikansha kuwa ajira sio tatizo na sio bomu. Mara zote hata Waziri wa sasa Jenista na msaidizi wake nao hawaoni kama sio tatizo. Ukiona waalimu zaidi ya Elfu 90 wanaomba kazi, then kwa kuwa Waziri ana hakika ya mshahara anasema sio tatizo, haibadilshi ukweli wa mambo.

Labda Mama Kabaka au Waziri wa sasa hawajui kuwa tatazo lipo. Na ndiyo maana huenda hakuna na mikakati ya muda mfupi na muda mrefu namna gani ya kutengeneza ajira kama namna ya kuwapa nafasi vijana watoe mchango wa nguvu na akili yao kujenga uchumi wa Tanzania.

Kwa mtazamo wangu, EL alisema kweli, ila alikuwa na wrong motive. EL kawa PM, kawa waziri wa maji na mifugo, kawa waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi, kawa Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais kupunguza umasikini, kote huko hakuwahi kuwa na mkakati wa kutekelezeka wa kupunguza vijana mtaani ili wapete ajira. Aidha sijui kama alikuwahi kuwa na mpango-mkakati unaofahamika kupunguza kuongeza ajira sio kama fadhila, bali kama wajibu wa kiongozi kujenga daraja ili vijana wawe na mchango wa kuijenga Tanzania na kujenga maisha yao na jamii yao.

AR Bernard anasema, hatuwezi kutatua tatizo kwa kusema haipo. (We cannot solve a problem by saying it is not there)

Baadhi yetu tunakumbuka tulipokuwa darasa la 1 mpaka la 5 tulifundishwa hisabati. Moja ya kumbukumbu zangu ni maswali ya namba ndogo kutoa namba kubwa.

Mathalani; 1 – 4 = (Jibu lilikuwa haiwezekani)

Kwa hiyo kama ingetokea nikaishia darasa la 5 katika mfumo wangu wa kupata elimu bila shaka
1 – 4 ningesema haiwezekani na kujiona niko sawa kumbe kuna maarifa zaidi ya hayo.

Nilipoingia darasa la 6 ndipo mwalimu wa hesabu akaja na dhana mpya kuwa 1 – 4 inawekana; na jibu likiwa (-3);

Tukijenga kwenye dhana hii rahisi tunaweza kwenda kwenye multidimensional kind of thinking ili kutumia asstes ambazo tunazo hasa kuanzia kwenye fikra kama namna ya kutatua matatizo including kujenga mifumo ya kiuchumi na kibiashara ili kukuza kutengeneza ajira pia.

Kuna mwandishi wa kitabu aitwae Richard Heuer aliewahi kufanya kazi ya ujasusi nchini Marekani ; Richard katika makala zake kuhusu namna gani wanaopata taarifa za kijasusi wanaweza kuwa “analysts” wazuri anahimiza umuhimu wa wahusika kuwa na open mind kila wanapopata taarifa.

Kwa msingi huo wa Richard, bila shaka watawala huko nyuma kuna watu huenda walikujaga na frameworks/models za kujuenga uchumi ili kesho ya vijana wa leo wawe na neema, wao wakachukua poa.

Na kwa kuwa Richard alikuwa bingwa wa saikolojia, amekwenda mbali na kusema “ akili ni kama “parachutes”. Zinafanya kazi ikiwa zitakuwa wazi. Baada ya kchunguza/kutafiti namna gani fikra huwa zinajengewa mfereji katika ufahamu; Richard anatoa changamoto kwa analysts kuendelea kuacha akili zao wazi kwa lengo la

Kuzua maswali dhidi ya dhana zilizopo ambazo huenda hazitoi matokeo (question assumptions),
kuona mambo kwa mtazamo tofauti (see different perspectives) ,
kuendeleza fikra mpya (develop new ideas ),
na kutambua ni wakati gani wa kubadili fikra (recognize when it is time to change their minds).

Wazo au dhana ni mwanzo tu wa mchakato mawazo mapya (creative process). Kwa sehemu Richard kaweka wazi kuwa kila taasisi au nchi zina wajibu wa kujenga mazingira ili mawazo mapya yaweze kuibuka juu au yakandamizwe; kwa muktadha wangu, namna gani tujenga nchi kwa uwekezaji jumuishi kwa kutumia rasimali zetu za ndani zikiwemo akili za Watanzania.

Kuna siku nilitoa makala mbili mfululizo kumshauri boss mmoja wa kitingo nyeti hapa nchini, baada wakadhani nashauri vijana wa kitaa nao wapewe kazi kwenye za “jikoni”. Naomba kukiri sina ufahamu wowote masuala ya tasnia ya hao vijana. Japo msingi mkubwa wa hoja yangu uko palepale, sisi Watanzania bila kujali tofauti ya elimu zetu, tuna wajibu wa kukaa pamoja ili kujenga uchumi shirikishi unaolenga mambo mengi ikiwepo

Kuongeza uzalishaji wa bidhaa za ndani ili kupunguza imports,
Kuongeza fursa za kutumia nguvu kazi hasa vijana
Kuongeza/kupanua wigo wa kodi za serikali
Kuongeza/kupanua wigo wa taasisi za pensheni kukua
Kupanua wigo wa mfuko wa bima ya afya kukua.
Kuongeza exports za short term, mid term and long term harvest crops

Mafanikio hayo yakitokea, itaongeza utulivu katika jamii kwa watu kuipenda nchi yatu ya kuithamini kwa kuwa mazingira yako favorable kwao waendelee kuzalisha na kuwekeza kwenye sekta zingine.
Inauma kusikia tunapeleka 60 billion ku-import sare za polisi wakati tuna pamba kama primary raw material ambayo ingekuwa processed hapa, ripple effet yake ingekuwa very positive kwetu sote.

Ntandelea kuihimiza msingi wa kuwekeza kwenye miradi ya kimkakati ya kiuchumi yenye quick rate on RETURN ON INVESTMENT ambapo watumaji wa products ni Watanzania kama majeshi yetu, wanafunzi. Textile industry kwetu sisi tuna ihitaji mno mno mnoo.

Tunaweza kutofautina namna gani ya kufikia malengo na tukabaki tunapoteza muda jambo ambalo linatufanya tumkosee muumba wa mbingu na nchi ambae anatutaka tukomboe wakati.

Jambo la mwisho la kuwapa changamoto wakubwa wa nchi hii ni jukumu la wao kukabiliana na ukweli. Maandiko yanasema tutaifahamu kweli na kweli itatuweka huru.

Richard anasema, msingi mkuwa wa kufeli kwa analysts wengi hasa wa masuala ya uchumi, huwa sio kwasababu hawana taarifa na makusanyo ya taarifa. Mara nyingi wanafeli kwa kukosa relevant information from the source, misinterpreted of information, ignored, rejected, or overlooked because it fails to fit a prevailing mental model or mind-set. The “signals” are lost in the “noise.”

Wengi wetu tulisoma kidato cha kwanza, tunakumbuka kwenye mzingo wa mawasiliano, uzito wa taarifa hupotea taarifa ikipitia katika media mbili au tatu tofauti. Mtu wa 3 au wa 4 akisika taarifa mara nyingi “imechakuchuliwa” kwa bahati mbaya au kwa kukusudia. Kwa kuwa sio rahisi kuipata kwa uzito ule ule, mafanikio huwa hayapo na visionaries wetu wanapotea wakati wana viable investment worth of being in Tanzanian settings.

Kuna siku nikaeleza kuwa kuna Mtanzania nina mfahamu ana mradi wa uwekezaji na kuna pahala anapigwa danadana. Mradi huo kama utaanza taasisi za serikali zifuatatazo watakuwa beneficiaries wa moja kwa moja bila kujalisha mchango wao kwenye huu uwekezaji.

TRA Kukusanya kodi za PAYE zitokanazo na makato ya mishahara ya wafanyakazi;
NSSF Kukusanya michango ya pensheni za wafanyakazi. 10% ya mshahara akitoa majiri na 10% toka kwa muajiri.
NHIF watakuja au wengineo kuchagiza wafanyakazi wakatiwe bima ya afya 6% ya mshahara.
WCF nao watakuja.
Wizira wa Ardhi anaingia kuchukua kodi ya ardhi.
Wizira wa viwanda na biashara anaingia kama mdau
TANESCO na Mamlaka ya maji kwa mji uwekezaji ulipo.
Kuna TFDA na TBS kama wadau wa viwango na ubora wa chakula.
NEMC kuona kama plant inakidhi usafi na haina athari kwa mazingira.
Pengine SUMA JKT wanaweza kuja kuuza huduma ya walinzi hali kadhalika uwekezaji kwenye ujenzi.
Bila shaka kampuni ya simu TTCL wakaja kuuza huduma ya simu.

Kama nikitengeneza equation rahisi, taasisi zote hapo juu ni sawa matokeo ya uwekezaji

Yaani 3+1+5 = 9

Iwapo nikigeuza equation hii na kusema kwa kuwa 1+x+5=9;

basi kwa kuwa namba 1 ipo na 5 zipo na matokeo yake tuna hakika yakakuwa 9; bila shaka tutaanza kugombana kwa hoja na kubishana huku muda ukipotea na tunajua matokeo yatakuwa 9.

Hapo ndipo Rais wetu wa sasa na wengine waliopita walikuwa wanakwama/wanakwamishwa na wasomi wetu ambao walishindwa au wanashindwa kufiiri nje ya box namna gani variable inayokosekana kila liwezekanalo lifanyike ili iwepo.

Watu wako radhi kuwekeza mabilioni kwenye miradi ambayo watapinga 10% na si katika miradi ambayo itaongeza assets.

Niweke mfano mwingine kwa lugha rahisi. Inafahamka msingi wa mifuko ya pensheni Tanzania ni ajira za wafanyakazi katika mifumo rasmi. Kuwekeza kwenye real estate ilikuwa ni kuzifunga fedha katika miradi ambayo Return on investment may take forever.

Ila kuna miradi ambayo hao hao pension funds wangeweza kuwekeza kwa kushiriana na Watanzania kwa mfumo wa kuunda kampuni ya pamoja, fedha za mkopo zingerejea kwa muda mfupi na wangevuna wafanyakazi wengi kwa investment models kama hizi.

Abraham Lincoln alisema, the best way to predict the future is to create it. Changamoto yetu sisi Watanzania, how are we seriously predicting the future by making deliberate efforts to create the future?
Baadhi ya wachumi wanamwambia Rais wetu, future ya Watanzania ipo kwenye barabara za lami, SGR, ndege, stiglaz. Hata mimi nakubaliana. lla kama Watanzania wengi watatoka shule/vyuo na hawana namna ya kuwa sehemu ya kujenga uchumi wao hii itakuwa sawa na South Africa au Ethiopia ambapo GDP ya nchi iko juu wana all the good infrastructure nzuri kuliko zetu na pengina in the next 7 years mhe. ataondoka hatujafikia ubora wa South Africa ila wananchi wamechoka. Hii model iko namna ikawa improved, wakati hiyo miradi ikiendelea, kuna namna ya kufanya vinginevyo. Ndiyo maana nawakumbuka vijana wa mzee, fikirieni sana namna gani mtadaka viable investment projects kwa hela za ndani na assets za ndani kama daraja la kukuza uchumi wetu kwa kasi.

Moja ya eneo ambalo “watu wa jikoni” hamjaona kama asset worth to be tapped ni human brain. Akili za Watanzania ni kama potential energy. Itabaki kama potential energy na kuharibika. Sehemu nzuri ni kufungua milango ili kuitumia hiyo akili. Akili ikitumika katika kinetic energy form, mresho wake utakuwa superub.

Inavunja moyo kuona vijana wanamaliza vyuo, sekondari wanaishia kuendesha bodaboda, kuzubaa kwenye betting na kushangalia ligi ya EPL na UEFA Champions League.

Ni wakati wa kwenda mbali zaidi ya kudhania tunaweza ku-solve eqns kwa quadratic, elimitaion au graphic methods;

Kumbe kuna option ya ku-solve kwa njia mbadala kama matrix au transformation ili kupata matokeo yaleyale. Nataka kuamini kujikita katika falsafa ya mambo madogo madogo tuliyojiunza walau kwa shule ya msingi na vidato vine, kuna mengi tutagudua hatujayafanyia kazi kama msingi wa kutatua matatizo makubwa likiwemo kukuza uchumi wa Tanzania kwa ku-create avenue vijana wafanya kazi katika mifumo ambayo itachangia ukuaji wa kibiashara na kuongeza cash-flow katika mifumo mingine.

Shalom
 
Sawa..lakini sidhani kama utaeleweka..
Siku hizi sie Waswahili,kuwa open minded thinker ni dhambi..utaitwa mzushi,mchochezi n.k na wengine watatishia kuvua nguo kwa ajili yako...
 
Nakuelewa mkuu.
nadhani tulijifunza darasa la 3 miaka ya 80 kuwa nitasema kweli daima, fitna kwangu ni mwiko. Wakati huo somo la siasa lilikuwa lazima.
Ukweli una tabia moja, unaweza kuukanusha hadharani, ila moyo huwa unachoma
 
Hii "Home Work"..., kuna mawazo mazuri humo; lakini iko 'disjointed' sana aiseee! Unampa shida Profesa kukupa 'grade' halisi ya kazi yako

Ungesaidia sana wasomaji wako kama ungejikita zaidi kwenye hizo unazoziita 'conspiracy', na kuzieleza bila ya mizunguko isiyokuwa ya lazima katika kufikisha ujumbe wako. Hii ingepunguza urefu wa mada na ingeeleweka haraka na anayekusoma.

Sasa sijui utayachukuliaje maoni yangu haya: 'constructive criticism', au utaona nakupinga bila ya sababu yoyote ya maana!
Ni maoni tu sina hiyana na mawazo yako.
 
Hapo ndipo Rais wetu wa sasa na wengine waliopita walikuwa wanakwama/wanakwamishwa na wasomi wetu ambao walishindwa au wanashindwa kufiiri nje ya box namna gani variable inayokosekana kila liwezekanalo lifanyike ili iwepo.
Sentensi hii ndio kila kitu mkuu.
Inabidi atokee siku moja kiongozi atakayeweza kuwa'manage' vizuri hawa. Hilo likitokea, Tanzania itapaa. Mjadala wa hili jambo humu JF lingeweza kusaidia ni kwa namna ipi jambo hilo linaweza kufanyika.
 
Tatizo ni pale baba ndani unataka kufanya kila kitu utafute pesa wewe, kupeleka watoto shule wewe, Kupika upike wewe,sokon uende wewe, uoshe vyombo, Udeki, Kila kitu wewe uku mke na watoto wapo !! kha lazima ufeli tu"
 
Good
 
Hii "Home Work"..., kuna mawazo mazuri humo; lakini iko 'disjointed' sana aiseee! Unampa shida Profesa kukupa 'grade' halisi ya kazi yako

Ungesaidia sana wasomaji wako kama ungejikita zaidi kwenye hizo unazoziita 'conspiracy', na kuzieleza bila ya mizunguko isiyokuwa ya lazima katika kufikisha ujumbe wako. Hii ingepunguza urefu wa mada na ingeeleweka haraka na anayekusoma.

Sasa sijui utayachukuliaje maoni yangu haya: 'constructive criticism', au utaona nakupinga bila ya sababu yoyote ya maana!
Ni maoni tu sina hiyana na mawazo yako.
Nakuelewa ni ndefu kwa mtu asie msomaji, ila kama unasoma vitabu sana au kuangalia series za action na novel utagundua kuna dots za page 1 zinakuwa connected na page 7; so ukiishia njiani unaweza kushindwa kumeza nini mwandishi amekusudia kufikisha.

Kwa upande mwingine, kama mtu akielewa kwa sehemu, ana jukumu la kuwaza na ku-connect na matukio mengine ya hapa ndani na nje ya hapa kupata the whole content.
Nakubaliana na critique yako pia, next time ntajaribu ku-summarize, japo mifano huwa ni muhimu kumpa mtu kuelewa kwa mapana
 
Back
Top Bottom