Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Namba11 ni sawa kwa maelezo kuwa, mtungo wa vyombo vingi vilivyounganishwa kwa mfumo wa "connection" vya kujaza si maji tu, hata "item" zingine, chombo cha mwisho ndiyo huwa cha kwanza kujaa na cha kwanza huwa ni cha mwisho.
 
Namba11 ni sawa kwa maelezo kuwa, mtungo wa vyombo vingi vilivyounganishwa kwa mfumo wa "connection" vya kujaza si maji tu, hata "item" zingine, chombo cha mwisho ndiyo huwa cha kwanza kujaa na cha kwanza huwa ni cha mwisho.
Exactly, halafu pia naona hiyo no.7 maji yake hayatajaa yataishia diversion ilipoishia
 
No 2 kwa sababu ndio pipa ambalo litajaa na maji hayahami kwenda pipa jingine
 
Hapa ni kupita mbali maana mambo ya hesabu pooye ntapoonamaumia kichwa
 
Hapo pipa litakalo anza kujaa ni namba 7 maana ndilo linalo pokea maji na linatolea juu yaani baada ya kujaa ndio linatoa kisha linagawa na kujaza kwa 11 kupitia pipa namba 10
 
Baada ya kufatilia kwa umakini sana nimegundua hamna tanki hata moja litakalojaa sababu ukiangalia tank 0 tap inamwaga maji nje maana yake hata ilo 0 haliwezi jaa sababu haliingizi hata tone ya maji na ndomaana mleta swali kaanza na tank 0 kwa maana nyingine alimanisha hamna maji yanaoingia.Maana yake km tank 0 halipokei hata toni basi matank yote yaliyobak nayo hayawez pokea maji.Mleta swali naomba mlejesho juu ya jibu langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa duuh wewe jamaa sijui wa wapi hahaha umenichekesha sana. Mkuu hilo bomba linajaza.maji ndani ya pipa sema macho yako yana makengeza vaa miwani

Today
 
Back
Top Bottom