Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Tatizo watu wengi mmeng'ang'ania kuangalia vitobo mara huyu aseme kiko juu mara kiko chini...naomba niwakumbushe kuhusu water pressure and depth of the hole zinazotumika ku supply hayo maji kwenda pipa nyinginge hapo pipa la kwanza kujaaa ni pipa namba 0 anaebisha aje nimfanyie practicaly kabisa
 
natoa majibu wale waliosema no 7 ni Half Genius na wale waliosema no 11 hao ndio GENIUS
woteee ni zero kabisa huyo 7 na 11.....kuna mtu ambae anajua kuhusu pressure au mnaangalia matundu tuuu....sijasoma science ila kwa hili siwezi kua mjinga
 
Clear no 7 litajaa kwanza.. halina outlet ya chini so no 10 na 11 hayawezi pata maji b4 no 7.. Mengine yote cancell coz yana toa maji kwa chini.
 
Tatizo watu wengi mmeng'ang'ania kuangalia vitobo mara huyu aseme kiko juu mara kiko chini...naomba niwakumbushe kuhusu water pressure and depth of the hole zinazotumika ku supply hayo maji kwenda pipa nyinginge hapo pipa la kwanza kujaaa ni pipa namba 0 anaebisha aje nimfanyie practicaly kabisa
hilo pipa si rahisi kujaa kabla ya outlet ya maji
 
No 7, ila Kuna mambo raha sana yani unakuta mtu kataja namba hiooo mpk unajiuliza katania au n serious
 
Akuna pipa lolote litalojaa sababu pipa 0 halipokei maji hata tone,maji yote yanamwagika nje.
 
Back
Top Bottom