Malick salehe
Member
- May 18, 2017
- 11
- 1
Mkuu, si uangalie picha tu inaonesha kila kitu kakaNimeuliza kama hayo mapipa yako 'even ground level' yote?
asanteNionavyo Mimi ni namba 8 ingawa namba 3 inaonekana kuwa kikwazo..
Okay
Mr namba Saba ndio itakuwa ya kwanza 7Duh! JF kweli imejaa Mazuzu, hamna cha U great thinker wala nini!
No. 11 ndo litakua la kwanza Mkuu, ukiangalia vizuri, ni kuwa Bomba linalopeleka maji no. 10 lipo chini kuliko linaloingiza maji no. 7 toka no. 3..
Pipa ni 11Ndugu zangu habari za wakati huu?
Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?
View attachment 554041