Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Throttling is slow flow through a partially open valve mufano last night I throttled Foreign Extra.
 
Ndugu zangu habari za wakati huu?

Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?

View attachment 554041
PIPA LA 7. ndio litaanza kujaa fasta. Sababu iko wazi, inflow yake na outflow ziko juu tu, kwa hiyo ni lazima lijae kwanza ndio pipa la 10 lipate (ambalo ni kama njia ya kupita tu, maji ni kama hayakai) ndipo la 11 litapata maji.
 
11 mzee litaanza kujaa
pipa namba 0 litakuwa la kwanza kujaa kwa maana presha ya maji kuingia ni kubwa kuliko inayotoka.hivyo kivyovyote vile hilo lililokaribu na bomba litakuwa la kwanza kuwa filled up.
 
pipa namba 0 litakuwa la kwanza kujaa kwa maana presha ya maji kuingia ni kubwa kuliko inayotoka.hivyo kivyovyote vile hilo lililokaribu na bomba litakuwa la kwanza kuwa filled up.
uUmiza kichwa zaidi mkuu. Litajaa vp wakati linatoa chini? Kuwa jiniaz bwana. Ni sawa na kujaza maji kwenye tenga lenye tundu chini, cjui yatajaa lini.
 
Namba saba haliwezi kujaa mpaka namba kumi lijae,na namba kumi haliwezi kujaa mpaka namba 11 lijae,..."namba 11 ndio litaanza kujaa"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uUmiza kichwa zaidi mkuu. Litajaa vp wakati linatoa chini? Kuwa jiniaz bwana. Ni sawa na kujaza maji kwenye tenga lenye tundu chini, cjui yatajaa lini.
bro! kama una knowledge hata 0.1% ya physics kuhusu pressure utaelewa kwa nn hilo la juu litaanza kujaa.pressure in by tap ni kubwa kuliko pressure out by tank.tank 0 litajaa na maji yatamwagia kabla ya matank yote unless ufungulie maji kwa speed ndogo sana.
 
No 7 coz outlet yake ndo inapeleka namb 11 na itapeleka only if limejaa so namb 7 ndo litaanza kujaa... Makofi tafadhali
 
Back
Top Bottom