bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,714
7Ndugu zangu habari za wakati huu?
Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?
View attachment 554041
Namba saba toleo lake la maji liko juu na linapokea maji kwa juu hivyo lazima liwe limejaa ili lijaze pipa lingine. Mapipa mengine yanatolea maji mdomo wa chini hivyo mpaka yajae maana yake mapipa yanayolitegemea yawe yamejaa na yamefungwa!Tuambieni ni kwa nini No 7au No 11 au No yoyote ile unayodhani.
Zingatia bomba liingizalo maji na litoalo maji.
Ni wapi kasema hivyo?? Sijaona hayo maelezo, kitu kinachoonekana cha blue sio lazima kiwe mfuniko, yawezekana ni valve ya kushika shingo ya kupitishia maji!Mmeshaa ambiwa pipa namba 0 limefunwa na mfuniko wa blue kama yalivyofungwa mengine na koki ya maji inamwaga pembeni kabisa mwa hili pipa ...sasa yatajaaje ,,ninyi bado mmengangania namba7,8,11?
Daaah hii ipo too technical aiseefluid mechanics doooooooh
Duuuuh nooma sana
invigilator naomba uniongezee karatasi ya kujibia chabo imeniambia nimekosa