Gen Z wanapanga maandamano mapya ya Januari 29

Gen Z wanapanga maandamano mapya ya Januari 29

Daa Hawa vijana hawapoi, Baada ya D9 kufeli Gen Z wamefanya analysis na kuchagua siku ya alhamis ya tarehe 29 January 2026 kuwa siku ya maandamano ya kudai haki.

Wamechagua siku ya kazi, huu ni mtego kwa serikali maana maandamano siku ya kazi ni vigumu kuzuia movement za watu.

Na maandamano yanaua uchumi na utalii.

Any way ni J29

Aione
Wambura
Simbachawene.

Mto wa mbu
Illinois-USA
hiyo ni nonsense kabisa
 
Acha iwe hivyo kama mbumbumbu wetu hawakusikia au hata kuelewa hoja zilizotupeleka kwenye machafuko yaliyopita hivi karibuni!
 
Ningeshauri vijana wawe na intelligence yao, iitwe Tanganyika Gen-z Intelligence(TGI)
 
Huu mwaka huu ,Gen z ebu pungunza kasi tutakufa njaa vijana wangu ,huu moto mnatupelekea sio wa kawida ,mtatua sie mawzee
 
Njooni muda wowote aisee achaneni na kutangaza tarehe kama mnaingia period, aisee,nyie ni vibaka tu tunawasubiri kwa hamu sana hivo vijambio vyenu.!!!
 
Njooni muda wowote aisee achaneni na kutangaza tarehe kama mnaingia period, aisee,nyie ni vibaka tu tunawasubiri kwa hamu sana hivo vijambio vyenu.!!!
Usiwapangie watakuja wanavojisikia 💃🏻
 
Waambie minduku yao.
Mbona hawajaandamana tarehe 10 siku ya kazi?
Samia ameshawaambia any day any time nchi iko tayari.
Hawa wapuuzi warudishie pesa za watu, Tanzania hakuna nafasi, wananchi wanajielewa.
Nilitamani sana ile tarehe 9 wakaandamane ili wajue maana halisi ya serikali.
Wangeandamana watoto wao wadogo (Gen ZZ) wakiwa wakubwa watakaposimuliwa yaliyowakuta wazazi wao wangetetemeka sana
 
Back
Top Bottom