Gen Z wanapanga maandamano mapya ya Januari 29

Ili wadai haki zao zilizoporwa na maCCM na serikali dhalimu ya Nduli SASHA. Hata Nyerere alipowasapoti wapigania uhuru wa kusini mwa Afrika, hakwenda yeye front line. Wala Jana hujamwona Samia na mawaziri wake wakipiga doria barabarani. Hivyo kuwa na akili hata ya kuvukia barabara ebo!
Endelea kusubiri hio Haki ..sawa..wanaona na familia yako itakula hio haki
 
Hivi mnaposema Gen Z hawapoi wamepanga moja mbili tatu, huwa mnapata wapi taarifa zao? Nani kiongozi wao? Wapi uliwasikia? Mbona mnapenda kuwapaka matope hao mnaowaita GenZ ?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Maandamano ya hivi tena?
8651a67f-8622-4b24-8657-f4af104fbbfb.jpeg
IMG_0616.jpeg
 
Kaka futa hii unapotosha vijana wapo busy ground saiv kilele ni D25.
Unashusha morale
D25 unajijua Christmas??? Nani atatoka ?? Huoni mtaleta shida Hadi Kwa kanisa katoriki

Mie nimeichukua Kwa vijana kuwa ni J29
 
Ili wadai haki zao zilizoporwa na maCCM na serikali dhalimu ya Nduli SASHA. Hata Nyerere alipowasapoti wapigania uhuru wa kusini mwa Afrika, hakwenda yeye front line. Wala Jana hujamwona Samia na mawaziri wake wakipiga doria barabarani. Hivyo kuwa na akili hata ya kuvukia barabara ebo!
Umelijibu vizuri
 
Hivi mnaposema Gen Z hawapoi wamepanga moja mbili tatu, huwa mnapata wapi taarifa zao? Nani kiongozi wao? Wapi uliwasikia? Mbona mnapenda kuwapaka matope hao mnaowaita GenZ ?
Relax
 
MO29 mlibeza hivyooo hivyo🤣
Unacheka na watu walikufa...kwamba mnataka watu waendelee kufa kama kuku...wasenge nyie....mnajua tumezika watu wangapi ..ndugu zetu wangapi...mikundu nyie
 
Kunywa maji
 
Back
Top Bottom