Gen Z wanapanga maandamano mapya ya Januari 29

Gen Z wanapanga maandamano mapya ya Januari 29

TANZANIA tuna panyaroad siyo gen z na dawa ya panya wote tunaijua
 
Waambie minduku yao.
Mbona hawajaandamana tarehe 10 siku ya kazi?
Samia ameshawaambia any day any time nchi iko tayari.
Hawa wapuuzi warudishie pesa za watu, Tanzania hakuna nafasi, wananchi wanajielewa.
Nilitamani sana ile tarehe 9 wakaandamane ili wajue maana halisi ya serikali.
Wangeandamana watoto wao wadogo (Gen ZZ) wakiwa wakubwa watakaposimuliwa yaliyowakuta wazazi wao wangetetemeka sana
Na ule ulikua ni mwanzo tuu D9 angetoka Kima ndo angeheshimu serikali kwa maisha yake yaliyobakia
 
Mkuu uliona mbali. Hapa dawa ni:-
(a) kuchoma moto majengo ya chama na serikali,
(b) kuchoma vituo vya mafuta na maduka ya hao walioko serikalini na chamani,
(C) kuua ndugu jamaa na familia za hao wa chama na serikali.
 
Daa Hawa vijana hawapoi, Baada ya D9 kufeli Gen Z wamefanya analysis na kuchagua siku ya alhamis ya tarehe 29 January 2026 kuwa siku ya maandamano ya kudai haki.

Wamechagua siku ya kazi, huu ni mtego kwa serikali maana maandamano siku ya kazi ni vigumu kuzuia movement za watu.

Na maandamano yanaua uchumi na utalii.

Any way ni J29

Aione
Wambura
Simbachawene.

Mto wa mbu
Illinois-USA
kwa hzi kauli za waziri mkuu wa mchongo lazima ziwatie hasira vijana
 
😆 Nyie wa kukata vichwa na ubwabwa mnakaribishwa kutoa taamko wakati ili jambo ni la wato.

Tuna subiria amri mkuu mpaka kanisani kashiriki ibada ya mazishi wakati ana mazishi mengi mikononi mwake na mwanae.

vijana wanasema wanakuja D25 kuonesha dunia.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Kikundi hicho kitachoma makanisa ya wakatoliki na kusingizia kuwa ni waandamanaji.

Tafadhali taarifa hii iwafikie watu wote including jumuiya za kimataifa.

Huyu mwana haramu afukuzwe maramoja vinginevyo anaua hii nchi.

Nawewe CDF upo tu na unajua?
 
Kijana kabla ya kuandamana waza mambo yafuatayo

Una familia yako
unaweza kuuliwa
unaweza kupewa ulemavu
Unaweza kupewa kesi ya ugaidi na ukafungwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa

VUMILIA KUWA NA SUBRA HAKUNA KIONGOZI ANAKAA MADARAKANI MILELE , IKIWA HAUMPENDI KIONGOZI SUBIRI MUDA WAKE UTAFIKA ATATOKA NA SIO KUTUMIA MAANDAMANO AMBAYO NIMEKUWEKEA MADHARA YAKE

KWA PAMOJA TUNASEMA VIJANA TULINDE UHAI WETU NA TUKATAE VURUGU KWAKUWA HAKUNA MTU WA KUULINDA UHAI WETU ZAIDI YETU
 
Defencing Mechanism, si kuna wadau hapa mkakati wao ndiyo huu wa kuchoma vitu. Kila mtu atafikiwa tu ni suala la muda, usipande Mahindi ukategemea kuvuna mpunga.
 
Nyerere angekua Pumbavu kama wewe, huenda Uhuru tungepata mwaka 2000 .

Haya ni Maneno Toka Kwa Kijana pumbavu, lisilojitambua

LISSU ambaye ni Baba wa Demokrasia na Haki , katuonyesha Taifa linahitaji Vijana. Wa Aina gani.

Kwa Pumba hizi uloandika hapa, Wewe ni Mbowe mtupu !!
 
Defencing Mechanism, si kuna wadau hapa mkakati wao ndiyo huu wa kuchoma vitu. Kila mtu atafikiwa tu ni suala la muda, usipande Mahindi ukategemea kuvuna mpunga.

HAWANA STRATEGIC , WANATAKA KUJIFICHA KATIKA SHAMBA LA MCHICHA WAKIJUA HAWAONEKANI.
 
Kikundi hicho kitachoma makanisa ya wakatoliki na kusingizia kuwa ni waandamanaji.

Tafadhali taarifa hii iwafikie watu wote including jumuiya za kimataifa.

Huyu mwana haramu afukuzwe maramoja vinginevyo anaua hii nchi.

Nawewe CDF upo tu na unajua?
TEC imewashika pabaya mno na wanaona wazi hawana pa kutokea.. BTW sijawahi kuona mtu ama kikundi au taasisi walishindana na RC na wakashinda
 
Kijana kabla ya kuandamana waza mambo yafuatayo

Una familia yako
unaweza kuuliwa
unaweza kupewa ulemavu
Unaweza kupewa kesi ya ugaidi na ukafungwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa

VUMILIA KUWA NA SUBRA HAKUNA KIONGOZI ANAKAA MADARAKANI MILELE , IKIWA HAUMPENDI KIONGOZI SUBIRI MUDA WAKE UTAFIKA ATATOKA NA SIO KUTUMIA MAANDAMANO AMBAYO NIMEKUWEKEA MADHARA YAKE

KWA PAMOJA TUNASEMA VIJANA TULINDE UHAI WETU NA TUKATAE VURUGU KWAKUWA HAKUNA MTU WA KUULINDA UHAI WETU ZAIDI YETU
Unamvumilia huyo kisha akimaliza muda wake CCM mtandao wanamuweka mwingine kwa nguvu na dhulumati.
Nchi inazidi kuwa maskini. Tutavumilia hadi lini mambo ya nepotism, negligence and corruption?
 
Nishapata taarifa na misikiti yote ukiona ijumaa baadhi imepunguza sauti ya mawiza ujue kuna sehemu fungu limeputa.

sio makanisa tu mpaka mali za watu na walengwa wakubwa imani ya kikristo na wasilamu ambao sio wapenzi wa utawala huu.
 
Nyerere angekua Pumbavu kama wewe, huenda Uhuru tungepata mwaka 2000 .

Haya ni Maneno Toka Kwa Kijana pumbavu, lisilojitambua

LISSU ambaye ni Baba wa Demokrasia na Haki , katuonyesha Taifa linahitaji Vijana. Wa Aina gani.

Kwa Pumba hizi uloandika hapa, Wewe ni Mbowe mtupu !!

MMEONA KUWA NYIE NI WAJINGA EBU ONA HUU UJINGA MLIOKUWA MKIAMBIANA HAPA
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 9
  • Thanks
Reactions: Lax
Kikundi hicho kitachoma makanisa ya wakatoliki na kusingizia kuwa ni waandamanaji.

Tafadhali taarifa hii iwafikie watu wote including jumuiya za kimataifa.

Huyu mwana haramu afukuzwe maramoja vinginevyo anaua hii nchi.

Nawewe CDF upo tu na unajua?

NI MJINGA PEKEE ANAYEWEZA KUAMINI KUWA, KUTAKUWA NA MAANDAMANO TAR 25th DEC
NA HII INADHIBITISHA TUNA BAADHI YA VIJANA WAPUMBAVU KABISA PENGINE KWA SABABU YA HII ELIMU YETU YA KUKARIRI TULIYO LETEWA NA WAKOLONI.
YAANI MTU MWENYE AKILI NA ALIYEKAA DARASANI PENGINE MIAKA 12, ANAFIKIRI AKIJIFICHA NYUMA YA KEY BOARD AKAANDIKA, KUTAKUWA NA MAANDAMANO TAYARI YATAKUWEPO???
 
Hakuna dini au taasisi yenye nguvu kuliko serikali hususani katika nchi yenye mchanganyiko wa dini mbalimbali, ni kujazana upumbavu tu kudhani unaweza kupimana na Serikali yenye dola na ina instruments of power, ili upate sababu ya kusema unatafutwa upate kiki.
 
Back
Top Bottom