Gen Z wanapanga maandamano mapya ya Januari 29

Gen Z wanapanga maandamano mapya ya Januari 29

Wewe mwenyewe uko illnois marekani..unawaambia watu watoke uko ulaya huko kwenye fursa ila unawaambia vijana maskin watoke waandamane...nlijua hata unnawapa mchongo wa kuingia marekani ...
Yaani nitafute michongo wakati serikali ipo! By the way America is the land of opportunity
 
YOU ARE WASTING YOUR PRECIOUS TIME..
UKIJA KUSHTUKA UMEKALISHWA TU KIBARAZANI HUNA NGUVU NI MZEE TAYARI.....HUU MUDA NA HIZI NGUVU MNGEZITUMIA KUTAFUTA PESA
Babu zako waliwaambia upuuzi huuhuu vijana walioweka nguvu zao zote katika kupigania HAKI kwa ajili ya raia wa bara la Afrika?!
 
Nyumbu akiwa analiwa na mamba huwa anatapatapa sana hizo ni harakati za nyumbu kukata roho hakuna maandamano yoyote , mkileta unyumbu wenu risasi ambazo hazijatumika jana zitatumika hiyo siku mkileta ujinga wenu nyumbu nyie
 
Attachments

  • 29288.jpg
    29288.jpg
    48.8 KB · Views: 7
Hakuna kupoa mtuhumiwa awe anakumbushwa kila mwez kua ajiuzulu ana kes ya kujibu tje hague
 
Wewe mwenyewe uko illnois marekani..unawaambia watu watoke uko ulaya huko kwenye fursa ila unawaambia vijana maskin watoke waandamane...nlijua hata unnawapa mchongo wa kuingia marekani ...
Ili wadai haki zao zilizoporwa na maCCM na serikali dhalimu ya Nduli SASHA. Hata Nyerere alipowasapoti wapigania uhuru wa kusini mwa Afrika, hakwenda yeye front line. Wala Jana hujamwona Samia na mawaziri wake wakipiga doria barabarani. Hivyo kuwa na akili hata ya kuvukia barabara ebo!
 
Yaani nitafute michongo wakati serikali ipo! By the way America is the land of opportunity
Unaona Sasa ulivyo mpumbavu. Wewe uko marekani unawaambia vijana maskin humu waandamane..njoo toka huko marekani uje ukae fronti
 
Back
Top Bottom