Wewe mwenyewe uko illnois marekani..unawaambia watu watoke uko ulaya huko kwenye fursa ila unawaambia vijana maskin watoke waandamane...nlijua hata unnawapa mchongo wa kuingia marekani ...Daa Hawa vijana hawapoi, Baada ya D9 kufeli Gen Z wamefanya analysis na kuchagua siku ya alhamis ya tarehe 29 January 2026 kuwa siku ya maandamano ya kudai haki.
Wamechagua siku ya kazi, huu ni mtego kwa serikali maana maandamano siku ya kazi ni vigumu kuzuia movement za watu.
Na maandamano yanaua uchumi na utalii.
Any way ni J29
AIone
Wambura
Simbachawene.
Mto wa mbu
Illinois-USA
AbeeeeehCocalistic 😁
Hii ni mental case kabisa hiiNgoja tuone kwa makali ya njaanuary ni wangapi wataweza kununua soseji na maepo supamaketi kwa ajili ya lockdown 😃
😂😂😂😂😂 mbona hata sijapinga jamaniii.Naona siku hizi unapinga Maandamano.
What's wrong with you? 😂.
😂😂, Au unadhani nitatangulizwa akhera na kukuacha na huzuni?😂😂😂😂😂 mbona hata sijapinga jamaniii.
Woiiiiiih
Mh. Mshana hivi wewe ni kijanaNo retreat no surrender
Avae na wewe ni GenZ?No retreat no surrender
Yaani wana hasira sana hii serikali inachokitaka kitapatikana.Sio kweli naskia wana discuss sasa ivi wanaingia barabaran muda huu tunaongea
😂😂😂😂😂😂😂, Au unadhani nitatangulizwa akhera na kukuacha na huzuni?
Zack umetoka X umehamia jamiiforumsAhaa mnaandamana tena mitandaoni sio
Hivi mijadala yao wanaifanyiaga wapi hawa madogo?Sio kweli naskia wana discuss sasa ivi wanaingia barabaran muda huu tunaongea