Kijana kabla ya kuandamana waza mambo yafuatayo
Una familia yako
unaweza kuuliwa
unaweza kupewa ulemavu
Unaweza kupewa kesi ya ugaidi na ukafungwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa
VUMILIA KUWA NA SUBRA HAKUNA KIONGOZI ANAKAA MADARAKANI MILELE , IKIWA HAUMPENDI KIONGOZI SUBIRI MUDA WAKE UTAFIKA ATATOKA NA SIO KUTUMIA MAANDAMANO AMBAYO NIMEKUWEKEA MADHARA YAKE
KWA PAMOJA TUNASEMA VIJANA TULINDE UHAI WETU NA TUKATAE VURUGU KWAKUWA HAKUNA MTU WA KUULINDA UHAI WETU ZAIDI YETU
Kiongozi kwa uchaguzi upi , hao waliopatikana kwa msaada wa tume na dola unatawala watu ambao hawakukuchagua na wewe inajiita kiongozi wao kwa uhalali upi .Kijana kabla ya kuandamana waza mambo yafuatayo