Leo wamepewa ajenda ya TEC angalia kila chawa anaanzisha uzi wa TEC.TEC imewashika pabaya mno na wanaona wazi hawana pa kutokea.. BTW sijawahi kuona mtu ama kikundi au taasisi walishindana na RC na wakashinda
Leo wamepewa ajenda ya TEC angalia kila chawa anaanzisha uzi wa TEC.TEC imewashika pabaya mno na wanaona wazi hawana pa kutokea.. BTW sijawahi kuona mtu ama kikundi au taasisi walishindana na RC na wakashinda
NI MJINGA PEKEE ANAYEWEZA KUAMINI KUWA, KUTAKUWA NA MAANDAMANO TAR 25th DEC
NA HII INADHIBITISHA TUNA BAADHI YA VIJANA WAPUMBAVU KABISA PENGINE KWA SABABU YA HII ELIMU YETU YA KUKARIRI TULIYO LETEWA NA WAKOLONI.
YAANI MTU MWENYE AKILI NA ALIYEKAA DARASANI PENGINE MIAKA 12, ANAFIKIRI AKIJIFICHA NYUMA YA KEY BOARD AKAANDIKA KUTAKUWA NA MAANDAMANO TAYARI YATAKUWEPO???
Leo wamepewa ajenda ya TEC angalia kila anaanzisha uzi wa TEC.TEC imewashika pabaya mno na wanaona wazi hawana pa kutokea.. BTW sijawahi kuona mtu ama kikundi au taasisi walishindana na RC na wakashinda
Imewashika pabaya mno na hawana uwezo wa kujibu hojaLeo wamepewa ajenda ya TEC angalia kila chawa anaanzisha uzi wa TEC.
Hapo umeshangaa nini? Hata huko Jeshini kuna wapuuzi pia kama wewe ,watu wajinga wajinga ambao kwao 'Tonge la Ugali ' linathamani kuliko HAKI NA UHURU WAOMMEONA KUWA NYIE NI WAJINGA EBU ONA HUU UJINGA MLIOKUWA MKIAMBIANA HAPA
Hapo umeshangaa nini? Hata huko Jeshini kuna wapuuzi pia kama wewe ,watu wajinga wajinga ambao kwao 'Tonge la Ugali ' linathamani kuliko HAKI NA UHURU WAO
Hata hivo, Wako pia Wanajeshi Wema ,na ndio walitusaidia Kupambana.
Vifo vya Mapolisi na Wanajeshi vingi vilivyoyokea, Ilikuaje???.
Hawajajifunza bado, kwamba kuna wakati unatakiwa kutumia akili siyo mihemko. Ikishindikana usilazimishe utaumia.ENDELEA KUKARIRI ILA HUU UTOTO HAUWEZI KUWAPA FAIDA, MIMI SICHEZI LIGI NDOGO
Hawajajifunza bado, kwamba kuna wakati unatakiwa kutumia akili siyo mihemko. Ikishindikana usilazimishe utaumia.
Acha kiwake
Na sasa hivi kabla ya vyombo kuingilia kuna watu wataanza kushughulikiwa na wananchi wenyewe. Kwani hao wanaodandiwa mtaani huko wanadhani connection yao inatoka kwa malaika.HAWANA AJENDA MIMI NIPO MITAANI HUKU WATU UKIONGEA KITU KINAITWA MAANDAMANO WAWEZA KUPIGWA MAWE WATU WASHACHOKA HUU UJINGA NA WAMEONA JINSI MIHEMKO ILIVYOPELEKEA VIFO VYA VIJANA
Na sasa hivi kabla ya vyombo kuingilia kuna watu wataanza kushughulikiwa na wananchi wenyewe. Kwani hao wanaodandiwa mtaani huko wanadhani connection yao inatoka kwa malaika.
hivi unaijua nguvu ya dola ya rumi wewe? Serikali gani inaweza kuifuta roma?Hakuna dini au taasisi yenye nguvu kuliko serikali hususani katika nchi yenye mchanganyiko wa dini mbalimbali, ni kujazana upumbavu tu kudhani unaweza kupimana na Serikali yenye dola na ina instruments of power, ili upate sababu ya kusema unatafutwa upate kiki.
Daa Hawa vijana hawapoi, Baada ya D9 kufeli Gen Z wamefanya analysis na kuchagua siku ya alhamis ya tarehe 29 January 2026 kuwa siku ya maandamano ya kudai haki.
Wamechagua siku ya kazi, huu ni mtego kwa serikali maana maandamano siku ya kazi ni vigumu kuzuia movement za watu.
Na maandamano yanaua uchumi na utalii.
Any way ni J29
Aione
Wambura
Simbachawene.
Mto wa mbu
Illinois-USA
Roma causa, roma finita, ogopa sana nguvu za roma, jifanye kushupaza shingo utatembea kwa magoti mpaka vatican ukaombe msamaha