Gen. Ndomba amrithi Shimbo

Gen. Ndomba amrithi Shimbo

Status
Not open for further replies.
Simply beyond your comprehension.

Ukiangalia mwenendo wa uteuzi wa Mwamunyange na shimbo,wote wameshakuwa wakuu wa JKT(CNS) wakitokea JWTZ kisha kurudi na kuchukua vyeo vya juu JWTZ na ndomba pia.hii taratibu imeanza miaka ya 2005 baada ya waitara kuondoka.nafikiri wanapitishwa ili kujifunza uongozi na kukomaa kabla ya kushika nafasi tajwa.
 
JokaKuu

Heshima yako mkuu,kwanza asante kwa uchambuzi hapo juu

......nilikua katika research fulan ya maswala ya ulinzi Afrika nikakutana na andiko linazungumzia "complexity'' ya hierachy ya TPDF

Naomba kujua nafasi ya TPF (Polis) kwenye JW na je IGP ni sawa na COS?

hii nilishaisikia wakati ule wana Re-brand vyeo vya jeshi la polisi,ikaonekana upande wa TPDF hawakupendezewa na aina ya kujifananisha Polisi na JWTZ hasa kuhusu vyeo kwani vilikuwa vinashabihiana na vya JWTZ!na hivyo ilikuwa inaleta shida kiitifaki kwani kipindi cha nyuma IGP walimfananisha na Kanali ndani JWTZ!
 
hii nilishaisikia wakati ule wana Re-brand vyeo vya jeshi la polisi,ikaonekana upande wa TPDF hawakupendezewa na aina ya kujifananisha Polisi na JWTZ hasa kuhusu vyeo kwani vilikuwa vinashabihiana na vya JWTZ!na hivyo ilikuwa inaleta shida kiitifaki kwani kipindi cha nyuma IGP walimfananisha na Kanali ndani JWTZ!

Huu mfumo wa mpangilio wa vyeo mabegani kufanana kwa majeshi yote ulituja briefly 2008.....JWTZ waliukataa kwa sababu kwao ....ulikuwa kuwalinganisha na majeshi ya ulinzi wa kiraia,magereza,polisi na zimamotoo ambao ...nature ya Mafunzo na majukumu Yao hatafanani.....

Ie wakati Polisi wanafanya Mafunzo basic ...ya miezi 9...moshi na Mafunzo ya uofisa ya miezi Sita na kuendelea Kapanda vyeo .........wenzao jeshini hufanya Mafunzo magumu zaidi ( except special intakes )ie mwaka mmoja basic training,...miezi 6 Hadi mwaka ..for officers course....,speciality trainings ie pilots,artillery,special forces (commando), etc ambayo ni ya hatari hapo anaweza ndio akapata nyota tatu...,

Baada ya hapo ndio Huanza Mafunzo ya uongozi ambayo kidogo ukali utapaungua na kuwa ya mikakati zaidi....sasa ukitaka kulinganisha captain wa JW na Inspector civil forces ...just kwa kuwa wote wana nyota tatu haitakuwa Haki ......
 
inakuwaje mtu atoke JKT to JWTZ? inabidi mtumie akili sana mwamnyange JKT ina maana JWTZ hakuna wenye vigezo kamili ya kiuchanguliwa? hili ni pandikizi ndani ya nchi yetu
 
Jk ni kanali tu, hajatufikia mabrigedia na majenerali. Makanali huwa hawapandi cheo baada ya kufanya mapinduzi? Umemsahau kanali maarufu Gadafi? Hakuwahi kupanda cheo tena kama gadafi wetu

Kama ilivyokuwa kwa Kanali Jafari Nimeir wa Sudan.
 
Ni rafiki mkubwa wa JK sababu ya utendaji wake na msimamo wake!!alishapendekezwa hapo nyuma kumrithi Dr Hosea pale Takukuru!iliposhindikana akapewa utumishi jeshini,baadae akaenda JKT,,,ni mchapakazi sana na hodari!Hongera JK kwa hilo!

Wooote hawa ni uwt(CCM) bila shaka
 
FJM,

..kutokana na ukubwa wa jeshi letu ndiyo maana inalazimisha Chief of Staff kuwa na cheo cha Lt.Gen.

..enzi za Sarakikya mkuu wa majeshi alikuwa na cheo cha Brigedia na mkuu wa utawala alikuwa ni major.

..kwa uelewa wangu askari akifikia nafasi ya major general basi anaweza kuteuliwa kuwa mkuu wa majeshi, au mkuu wa utawala jeshini.

..ni uamuzi wa Raisi na Amiri Jeshi Mkuu kuamua ni yupi kati ya major generals anafaa kushika wadhifa wa mkuu wa majeshi, au mkuu wa utawala jeshini.

NB:

..kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu retirement ya Lt.Gen.Shimbo na uteuzi wa Lt.Gen.Ndomba.

..Shimbo ame-retire baada ya kufikisha miaka 60, Ndomba naye ameteuliwa akiwa na miaka 58.

..je,Lt.Gen.Ndomba atatumikia kwa miaka 2 tu halafu astaafu?

..pia kuna utamaduni/mazoea kuwa mkuu wa majeshi huondoka madarakani na mkuu wa utawala waliyetumikia pamoja. the only exception ninayoikumbuka ni Waitara kuondoka, na Mwamunyange[mkuu wa utawala] kuwa promoted kuwa mkuu wa majeshi.

..je, ina maana Gen.Mwamunyange ataondoka na Lt.Gen.Ndomba? When is Mwamunyange retiring, he is only 53? Je, Lt.Gen.Ndomba atapewa mkataba kuendelea na kazi hata baada ya kufikia umri wa kustaafu in 2 yrs??

Of course kuwa Lt General inakupa sifa za kuwa kiongozi wa juu wa Jeshi. Bt this fast promotion leaves so many questions. In the army where seniority matters the existing lt generals were supposed to take the position! Huyu kurushwa fasta ni merely on political reasons! With 58 yrs? ****.!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
mh Afande Ndomba mimi nilifukuzwa kwa uonevu jeshini na afande anaitwa luteni BAZICHA alikuwa pale STONE QUARRY KUNDUCHI,mkuu embu naomba ufatilie haki yangu naamini wewe mpenda haki na mcha mungu,namba yangu ni 0767295474

Tafuta kazi nyingine bana kwani ni lazima uwe mwanajeshi we vipi? Mtu akikunyima riziki kwa njia moja unatafuta kwa njia nyingine. Ulishafukuzwa we uchune Mungu atakulipia.
 
mh Afande Ndomba mimi nilifukuzwa kwa uonevu jeshini na afande anaitwa luteni BAZICHA alikuwa pale STONE QUARRY KUNDUCHI,mkuu embu naomba ufatilie haki yangu naamini wewe mpenda haki na mcha mungu,namba yangu ni 0767295474

Huyu bwana bado hajawa kapteni? Halafu do you think this approach would not jeopardize your quest for seeking justice?
 
inakuwaje mtu atoke JKT to JWTZ? inabidi mtumie akili sana mwamnyange JKT ina maana JWTZ hakuna wenye vigezo kamili ya kiuchanguliwa? hili ni pandikizi ndani ya nchi yetu

Hata Gen. Mwamunyange alikuwa mkuu wa JKT kabla ya kuwa COS na wakati anatoka JKT kuwa COS alimuachia Shimbo JKT kuwa then alipoulamba U-general akamuita best yake awe COS wala haileti tatizo. JKT ni sehemu ya JWTZ na sio jeshi linalojitegemea, ni sawa na kusema Kamishna wa mafunzo wa polisi kwani anajitegemea na anaripoti direct kwa IGP, the same applies kwa JKT i guess.

Hata kuwekwa kuwa mkuu wa JKT sio kitu kidogo kama wengi wetu tunavyoudhani, ila maandalizi ya kumfanya awe COS yalianza muda, huyo mzee nadhani kinachomuharibia katika CV yake ni ule ukuu wa mkoa unaleta doa sana kwa askari wa cheo chake na imani ya wananchi kwa jeshi lao. Maana asije akaanza kutoa kauli alizowahi kutamka mzee Shimbo kuingilia kazi za jeshi la polisi maana anaonekana ni mwanasiasa kabisa.
 
mmeshaanza maneno yenu, angekuwa mwislamu mngesema udini sasa Ndomba ni mkatoliki mwenzenu hamna cha kusema mnaanza kupepesa macho!
Rais amempandisha cheo Sawel Ndomba kutoka Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali na kumteua kuwa Chief of Staff. Huyu Ndomba miaka pungufu ya kumi iliyopita alikuwa ana cheo cha Luteni Kanali na alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara. Baadae akapandishwa na kuwa Kanali na kupelekwa Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa. Alitoka Arusha akaletwa jeshini ambako alikuwa mkuu wa utumishi baada ya kupandishwa kuwa Brigadier General. Mara baada ya muda mfupi akapandishwa akawa Meja Jenerali na Mkuu wa JKT. Na sasa ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi. Labda Mwamnyange akistaafu atapandishwa na kuwa full general na CDF.
This is dramatic rise through army ranks. Huyu Ndomba kweli alihudhuria kozi zote za jeshi?
Mfano Luteni Kanali anakuwa amehudhuria kozi ya Commander's Course. Lakini baada ya hapo lazima uende War College... Je alienda?
 
Huyu hakuwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kama siyo Mkuu wa Wilaya? Kazi za hivyo vyeo vya wakuu wa mkoa au wilaya si ziko kwenye katiba ya CCM?

Mkuu nakuambia kwa asilimia 100% nakuunga mnono wote wanaochaguliwa ni lazima wawatumikie wale waliowachagua, pamoja na chama chao, na ndiyo siri pekee ya kuteuliwa. Shurti uwe mwanaSSM hata kama tunajidai eti jeshi halina Siasa/Chama!!! Kakuambia nani? Thubutu!!!! Wote tunaunga nao foleni kupiga kura!!! Ila nilishangaa kura za jimbo la Kawe kuna wanajeshi wengi na kituo kimoja kulikuwa na wanajeshi wengi CDM iliongoza!!!! Wengi hasa wale wenye maishs duni kama sisi wameshajitambua!!! Hawataki kutumika tena!!
 
Of course kuwa Lt General inakupa sifa za kuwa kiongozi wa juu wa Jeshi. Bt this fast promotion leaves so many questions. In the army where seniority matters the existing lt generals were supposed to take the position! Huyu kurushwa fasta ni merely on political reasons! With 58 yrs? ****.!

58 YEARS??? Kwa hiyo na yeye akihit 60 anastaafu. nahisi mchezo kama wa majaji unaendelea pande hizi pia.
 
Huyu bwana ameoa nae nyumba moja na Mr Dhaifu.hizi ndo habari za hivi punde toka kwa jamaa angu wa kilwa.
 
mmeshaanza maneno yenu, angekuwa mwislamu mngesema udini sasa Ndomba ni mkatoliki mwenzenu hamna cha kusema mnaanza kupepesa macho!

Ndugu Yangu Issue ya Udini Inatoka wapi? Wenye Busara wanajadili Values!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom