Gen. Ndomba amrithi Shimbo

Gen. Ndomba amrithi Shimbo

Status
Not open for further replies.
Ndomba nimefanya nae kazi akiwa DC wa Ngara. Anastahili kupewa nafasi hiyo. Ni mtu makini na mwenye uwezo. Namfahamu sana kwamba hana ubinafsi wala hataki majungu. Ana kitu cha ziada na ni mtii sana katika kazi zake.
 
kwani kupewa hvyo vyeo mpaka wapandishwe kuwa sijui ma luten, na kama ni hivyo kwani hakuna waliofikia huo u luten wapewe hizo nyazifa? Naomba kujuzwa bandugu
uliyeanzisha hoja hujui itifaki ya vyeo vya kijeshi , kwa faida yako hii ndizo ngazo za kijeshi;
maafisa:
ngazi ya juu;
marshal - hakuna
field marshal - hakuna
general - mkuu wa majeshi- yupo
leutenant general-
major general
brigedia general
brigedia
colonel
leutenant col
major
maafisa ngazi ya chini:
captain
leutenant
sec. Leutenant( luten usu)
wasio maafisa(nco)
afisa mteule i
afisa mteule ii
sargent majot
sargent
coplo
private
huo ndo mfumo wa jeshi
uteuzi hufanywa pindi nafasi inapokuwa wazi.
Tofautisha luten na luten generali ni vyeo 2 tofauti>
 
Ndomba nimefanya nae kazi akiwa DC wa Ngara. Anastahili kupewa nafasi hiyo. Ni mtu makini na mwenye uwezo. Namfahamu sana kwamba hana ubinafsi wala hataki majungu. Ana kitu cha ziada na ni mtii sana katika kazi zake.

Mwanaccm Samwel Ndomba anapoteuliwa kuliongoza jeshi la wananchi wa Tanzania!!
 
Rais amempandisha cheo Sawel Ndomba kutoka Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali na kumteua kuwa Chief of Staff. Huyu Ndomba miaka pungufu ya kumi iliyopita alikuwa ana cheo cha Luteni Kanali na alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara. Baadae akapandishwa na kuwa Kanali na kupelekwa Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa. Alitoka Arusha akaletwa jeshini ambako alikuwa mkuu wa utumishi baada ya kupandishwa kuwa Brigadier General. Mara baada ya muda mfupi akapandishwa akawa Meja Jenerali na Mkuu wa JKT. Na sasa ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi. Labda Mwamnyange akistaafu atapandishwa na kuwa full general na CDF.
This is dramatic rise through army ranks. Huyu Ndomba kweli alihudhuria kozi zote za jeshi?
Mfano Luteni Kanali anakuwa amehudhuria kozi ya Commander's Course. Lakini baada ya hapo lazima uende War College... Je alienda?

Mkuu kuna thread inayozungumzia uteuzi wake hapa JF watu wamemwaga nyanga za kutosha ingawa yamebaki maswali(zaidi ya haya uliyouliza) na kufanya wengi tusubiri utendaji wake ingawa kwa protocal za kijeshi inaonekana kuna upendeleo fulani usiofurahisha makamanda wengi!
 
In military ranks, especially in the army, after cadet officer one becomes a second lieutenant, then a lieutenant in about a year, then based on attendance of commanding courses an officer moves from lieutenant to captain, major, and finally lieutenant colonel.

Thereafter, performance, experience, luck, perhaps specialised training or a graduate degree in areas of national security or strategic studies take someone up from colonel to brigadier general, major general, then lieutenant general and finally a full general. Assuming nepotism or corruption doesn't help someone, this is not an easy journey.
 
Uteuzi wa Ndomba ni katika muendelezo wa kulitumia jeshi kisiasa kwa kuwateua makada wa ccm kuliongoza jeshi.
Luteni Jenerali Ndomba amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa na kwa nafasi hiyo ya mkuu wa mkoa alikuwa mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm. Na ili mtu awe mjumbe wa kamati hiyo ya ccm inamaanisha kwamba ni mwanaccm.
Kwa uteuzi huu bado sitarajii kuona JWTZ ikijitenga na siasa chafu dhidi ya wapinzani.

Mwacheni afanye kazi jamani,kwa mfumo huu uliopo itachukua chama kitakacho chukua mdaraka kufuta alama za ccm miaka 15.Hata CDM ikipewa madaraka leo lazima wateule wake watoke humo humo kulikokua na makamisaa wa siasa n.k
 
Jamani! Tuweke mambo mengine pembeni Ndomba ninaye mjua mimi ni mchapa kazi ile mbaya,ni mtu ambaye anapokub anatekeleza majukumu yake hakika utagundua ni mtu mzalendo.Nimeeleza nijuavyo mimi,kama kunamengine mi sijui.Ndomba anastaili kupata anayoyapata.namtakia kila la kheli
 
Mkuu kuna thread inayozungumzia uteuzi wake hapa JF watu wamemwaga nyanga za kutosha ingawa yamebaki maswali(zaidi ya haya uliyouliza) na kufanya wengi tusubiri utendaji wake ingawa kwa protocal za kijeshi inaonekana kuna upendeleo fulani usiofurahisha makamanda wengi!

Definitely ...Hakuna kamanda anayeweza kufurahia uteuzi wa LT.COL[lt gen] Ndomba.....ukweli ni kuwa Tanzania haijawahi kutokea mwanajeshi akapanda toka luteni kanali hadi Luteni Jenerali ndani ya miaka 8...hili linashangaza ..kwa kweli!!
SIO KUWA WATU HAWAMPENDI YEYE BINAFSI AU WANAHOJI UWEZO WAKE ILA UTARATIBU UMEVUNJWA KWA KIASI KIKUBWA KUMPANDISHA MTU MMOJA CHEO HARAKA HARAKA ...AS IF MAKAMANDA WALIOPO HAWAAMINIKI....WAKATI JESHI LETU NI PROFFESSIONAL NA HALIJAWAHI KUFANYA JARIBIO LOLOTE BAYA......NI JESHI LA WANANCHI.............
ILI NDOMBA AVAE LUTENI GENERALI ...IMEBIDI MA MEJA JENERALI WALIOKUWA KWENYE SENIORITY WAHAMISHWE JESHINI....KWA KUWA JESHINI NI MAHALI AMBAPO HUWEZI KUMRUKA KAMANDA NA YEYE AKABAKIA ...EITHER UTASUBIRI ASTAAFU AU UMPANGIE KAZI SEHEMU NYINGINE ..THIS IS WHAT EXACT HAPPENED KWA KESI YA NDOMBA ......KUNA MMOJA AMEPELEKWA AFRICAN UNION,NA MWINGINE OFISI YA WAZIRI MKUU .....MAANA NDOMBA ASINGEWEZA KUPANDA CHEO KABLA YA HAO ....
JESHI NDIO SEHEMU PEKEE AMBAYO DESCIPLINE INAZINGATIWA UNLIKE POLICE AMBAPO MARA NYINGI TUMEONA MA RPC WAKIPATA U IGP NI KUWARUKA MAKAMISHNA WA POLICE...BILA KULETA MALALAMIKO...[IE iGP MWEMA Aliondoka nchini akiwa RPC Mbeya kwa kashfa ya mahabusu kufa kwa msongamano....mkapa akamuondoa ....,baadaye akamtafutia kazi Interpol ..hakupanda cheo....hadi alipokuja kuteuliwa kuwa IGP akawaruka makamanda wengi tu waliokuwa juu yake.....Ili Mwema awe Igp Kikwete ilibidi amuhamishie Kamishna Tibasana wizara ya katiba[tibasana alikuwa senior sana kwa Mwema...asingeweza kumsaluti] ...Kamishna Mwansasu Akastaafu,na kamishna Adadi Rajabu akapelekwa ubalozini.....kuna makamishna waliobakia kama Peter,Magoha na mohamed ....walikuwa senior sana kwa Mwema ....lakini macho yakafungwa kwa kuwa nao walikuwa wamebakiza muda kidogo sana kustaafu..

Taratibu za kurusha watu onyo bila kufuata protocol husika ,Kikwete pia amezivuruga Idara ya mahakama ...ambapo mfano huwezi kutoa Jaji 20 na kumpa ujaji kiongozi na kuwaacha walioko juu yake....at least jaji jiongozi anaweza kuwa yeyote kati ya J1 hadi J10....imezoeleka hivyo....na kwa namna namba inavyopungua ndio jaji anakaribia kuingia JR ....AU jAJI WA RUFAA.....Na jaji mkuu hawezi toka kwenye J lazima awe kati ya majaji wa rufaa ...kuna JR 1 HADI JR 8 ZAMANI WALIISHIA JR6........Jaji mkuu wa sasa alirushwa haraka toka J kwenda JR na baadaye akapewa u JM......
 
Taratibu za kurusha watu onyo bila kufuata protocol husika ,Kikwete pia amezivuruga Idara ya mahakama ...ambapo mfano huwezi kutoa Jaji 20 na kumpa ujaji kiongozi na kuwaacha walioko juu yake....at least jaji jiongozi anaweza kuwa yeyote kati ya J1 hadi J10....imezoeleka hivyo....na kwa namna namba inavyopungua ndio jaji anakaribia kuingia JR ....AU jAJI WA RUFAA.....Na jaji mkuu hawezi toka kwenye J lazima awe kati ya majaji wa rufaa ...kuna JR 1 HADI JR 8 ZAMANI WALIISHIA JR6........Jaji mkuu wa sasa alirushwa haraka toka J kwenda JR na baadaye akapewa u JM.....
 
  • Thanks
Reactions: FJM

Mdhaifu kweli kiboko huyo mtu kama alikuwa mkuu wa wilaya it means alisha staafu jeshi does it means so?mnao jua tuelimisheni kwani wanajeshi waliacha kazi za kisiasa na kirai lini?
 
Tumevuruga kote sasa tumeamua kuvuruga jeshi, hivi tunatafuta nini Huko? AMA Ndio kusema wachagga nchi iwe ya kijeshi kwani kuna uwezekano wa baadhi ya masinia kukutana kutii amri za Huyu chief of staff!
 
Definitely ...Hakuna kamanda anayeweza kufurahia uteuzi wa LT.COL[lt gen] Ndomba.....ukweli ni kuwa Tanzania haijawahi kutokea mwanajeshi akapanda toka luteni kanali hadi Luteni Jenerali ndani ya miaka 8...hili linashangaza ..kwa kweli!!
SIO KUWA WATU HAWAMPENDI YEYE BINAFSI AU WANAHOJI UWEZO WAKE ILA UTARATIBU UMEVUNJWA KWA KIASI KIKUBWA KUMPANDISHA MTU MMOJA CHEO HARAKA HARAKA ...AS IF MAKAMANDA WALIOPO HAWAAMINIKI....WAKATI JESHI LETU NI PROFFESSIONAL NA HALIJAWAHI KUFANYA JARIBIO LOLOTE BAYA......NI JESHI LA WANANCHI.............
ILI NDOMBA AVAE LUTENI GENERALI ...IMEBIDI MA MEJA JENERALI WALIOKUWA KWENYE SENIORITY WAHAMISHWE JESHINI....KWA KUWA JESHINI NI MAHALI AMBAPO HUWEZI KUMRUKA KAMANDA NA YEYE AKABAKIA ...EITHER UTASUBIRI ASTAAFU AU UMPANGIE KAZI SEHEMU NYINGINE ..THIS IS WHAT EXACT HAPPENED KWA KESI YA NDOMBA ......KUNA MMOJA AMEPELEKWA AFRICAN UNION,NA MWINGINE OFISI YA WAZIRI MKUU .....MAANA NDOMBA ASINGEWEZA KUPANDA CHEO KABLA YA HAO ....
JESHI NDIO SEHEMU PEKEE AMBAYO DESCIPLINE INAZINGATIWA UNLIKE POLICE AMBAPO MARA NYINGI TUMEONA MA RPC WAKIPATA U IGP NI KUWARUKA MAKAMISHNA WA POLICE...BILA KULETA MALALAMIKO...[IE iGP MWEMA Aliondoka nchini akiwa RPC Mbeya kwa kashfa ya mahabusu kufa kwa msongamano....mkapa akamuondoa ....,baadaye akamtafutia kazi Interpol ..hakupanda cheo....hadi alipokuja kuteuliwa kuwa IGP akawaruka makamanda wengi tu waliokuwa juu yake.....Ili Mwema awe Igp Kikwete ilibidi amuhamishie Kamishna Tibasana wizara ya katiba[tibasana alikuwa senior sana kwa Mwema...asingeweza kumsaluti] ...Kamishna Mwansasu Akastaafu,na kamishna Adadi Rajabu akapelekwa ubalozini.....kuna makamishna waliobakia kama Peter,Magoha na mohamed ....walikuwa senior sana kwa Mwema ....lakini macho yakafungwa kwa kuwa nao walikuwa wamebakiza muda kidogo sana kustaafu..

Taratibu za kurusha watu onyo bila kufuata protocol husika ,Kikwete pia amezivuruga Idara ya mahakama ...ambapo mfano huwezi kutoa Jaji 20 na kumpa ujaji kiongozi na kuwaacha walioko juu yake....at least jaji jiongozi anaweza kuwa yeyote kati ya J1 hadi J10....imezoeleka hivyo....na kwa namna namba inavyopungua ndio jaji anakaribia kuingia JR ....AU jAJI WA RUFAA.....Na jaji mkuu hawezi toka kwenye J lazima awe kati ya majaji wa rufaa ...kuna JR 1 HADI JR 8 ZAMANI WALIISHIA JR6........Jaji mkuu wa sasa alirushwa haraka toka J kwenda JR na baadaye akapewa u JM.....

Mtindo wa kufanya mambo bila kuzingatia procedures umezagaa beyond jeshini na polisi. Na inatugharimu sana kama taifa maana tunajikuta tuko na taasisi ambazo watumishi wake hawana morali hata kidogo. Hospitali. Tulisikia jinsi hospitali zinapandishwa na kuwa za rufaa bila ya kuzingatia uwezo, vifaa, wataalam! Sijui ni wazo la nani hasa kufanya mambo bila kuzingatia vigezo vinavyotakikana.
 
Definitely ...Hakuna kamanda anayeweza kufurahia uteuzi wa LT.COL[lt gen] Ndomba.....ukweli ni kuwa Tanzania haijawahi kutokea mwanajeshi akapanda toka luteni kanali hadi Luteni Jenerali ndani ya miaka 8...hili linashangaza ..kwa kweli!!
SIO KUWA WATU HAWAMPENDI YEYE BINAFSI AU WANAHOJI UWEZO WAKE ILA UTARATIBU UMEVUNJWA KWA KIASI KIKUBWA KUMPANDISHA MTU MMOJA CHEO HARAKA HARAKA ...AS IF MAKAMANDA WALIOPO HAWAAMINIKI....WAKATI JESHI LETU NI PROFFESSIONAL NA HALIJAWAHI KUFANYA JARIBIO LOLOTE BAYA......NI JESHI LA WANANCHI.............
ILI NDOMBA AVAE LUTENI GENERALI ...IMEBIDI MA MEJA JENERALI WALIOKUWA KWENYE SENIORITY WAHAMISHWE JESHINI....KWA KUWA JESHINI NI MAHALI AMBAPO HUWEZI KUMRUKA KAMANDA NA YEYE AKABAKIA ...EITHER UTASUBIRI ASTAAFU AU UMPANGIE KAZI SEHEMU NYINGINE ..THIS IS WHAT EXACT HAPPENED KWA KESI YA NDOMBA ......KUNA MMOJA AMEPELEKWA AFRICAN UNION,NA MWINGINE OFISI YA WAZIRI MKUU .....MAANA NDOMBA ASINGEWEZA KUPANDA CHEO KABLA YA HAO ....
JESHI NDIO SEHEMU PEKEE AMBAYO DESCIPLINE INAZINGATIWA UNLIKE POLICE AMBAPO MARA NYINGI TUMEONA MA RPC WAKIPATA U IGP NI KUWARUKA MAKAMISHNA WA POLICE...BILA KULETA MALALAMIKO...[IE iGP MWEMA Aliondoka nchini akiwa RPC Mbeya kwa kashfa ya mahabusu kufa kwa msongamano....mkapa akamuondoa ....,baadaye akamtafutia kazi Interpol ..hakupanda cheo....hadi alipokuja kuteuliwa kuwa IGP akawaruka makamanda wengi tu waliokuwa juu yake.....Ili Mwema awe Igp Kikwete ilibidi amuhamishie Kamishna Tibasana wizara ya katiba[tibasana alikuwa senior sana kwa Mwema...asingeweza kumsaluti] ...Kamishna Mwansasu Akastaafu,na kamishna Adadi Rajabu akapelekwa ubalozini.....kuna makamishna waliobakia kama Peter,Magoha na mohamed ....walikuwa senior sana kwa Mwema ....lakini macho yakafungwa kwa kuwa nao walikuwa wamebakiza muda kidogo sana kustaafu..

Taratibu za kurusha watu onyo bila kufuata protocol husika ,Kikwete pia amezivuruga Idara ya mahakama ...ambapo mfano huwezi kutoa Jaji 20 na kumpa ujaji kiongozi na kuwaacha walioko juu yake....at least jaji jiongozi anaweza kuwa yeyote kati ya J1 hadi J10....imezoeleka hivyo....na kwa namna namba inavyopungua ndio jaji anakaribia kuingia JR ....AU jAJI WA RUFAA.....Na jaji mkuu hawezi toka kwenye J lazima awe kati ya majaji wa rufaa ...kuna JR 1 HADI JR 8 ZAMANI WALIISHIA JR6........Jaji mkuu wa sasa alirushwa haraka toka J kwenda JR na baadaye akapewa u JM......

It seems uko vizuri sana, hongera maana umetoa ufafanuzi wa ndani kabisa na umeweka kila kitu vizuri. Mimi nina rafiki yangu yupo jeshini tena kuna siku wakati anafukuzia kwenda JWTZ bbada ya kumaliza chuo alienda kwa Ndomba kuomba apigiwe chapuo eti simply because Ndomba wanatoka sehemu moja Iringa jamaa akamwambia live kwamba no short cut akaambiwa asubiri mchujo hapo ndo nilimkubali Ndomba.

Hata alivokua RC - Arusha naskia enzi zile waziri mkubwa yule wa Richmond alitaka kufanya kila analotaka eti simply b'se ni waziri mkuu but Ndomba akawa anamwambia kuwa hatavunja taratibu zozote kwa ajili ya kumpatia favour so naskia wakatofautiana ndo maana jamaa wakaamua kumrudisha jeshini lakini wasijue kuwa huko ndo nyata yake itang'ara zaidi na zaidi.Ya Mungu ni mengi lakini pia kila mtu akijua kuwa wewe ni mtu wa haki Mungu hukuinua kama alivomuuinua Ndomba,so in short tusichoke kutenda haki maana siku hizi malipo ni hapa hapa duniani wengine watabaki wanalalamama wakati wewe unapaa yaani flying without wings. Hongera sana Lt General SAMUEL NDOMBA
 
Rais amempandisha cheo Sawel Ndomba kutoka Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali na kumteua kuwa Chief of Staff. Huyu Ndomba miaka pungufu ya kumi iliyopita alikuwa ana cheo cha Luteni Kanali na alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara. Baadae akapandishwa na kuwa Kanali na kupelekwa Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa. Alitoka Arusha akaletwa jeshini ambako alikuwa mkuu wa utumishi baada ya kupandishwa kuwa Brigadier General. Mara baada ya muda mfupi akapandishwa akawa Meja Jenerali na Mkuu wa JKT. Na sasa ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi. Labda Mwamnyange akistaafu atapandishwa na kuwa full general na CDF.
This is dramatic rise through army ranks. Huyu Ndomba kweli alihudhuria kozi zote za jeshi?
Mfano Luteni Kanali anakuwa amehudhuria kozi ya Commander's Course. Lakini baada ya hapo lazima uende War College... Je alienda?

Mkuu sijui nani atakujibu haya maswali! Ningeweza kujibu kwa uzoefu lakini ethics zinakataa!
 
hapa TZ kitu kinaitwa sifa na uwezo wa kisayainsi wa kazi mara nyingi hazimfanyi mtumishi yeyote kupanda juu.Hii ya TRA majuzi si mmeiona?Ujamaa wetu sasa ni KNOW-WHO siyo KNOW-HOW bado hamjaona madudu tuombe uzima!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom