Gen. Ndomba amrithi Shimbo

Gen. Ndomba amrithi Shimbo

Status
Not open for further replies.
Uteuzi wa Ndomba ni katika muendelezo wa kulitumia jeshi kisiasa kwa kuwateua makada wa ccm kuliongoza jeshi.
Luteni Jenerali Ndomba amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa na kwa nafasi hiyo ya mkuu wa mkoa alikuwa mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm. Na ili mtu awe mjumbe wa kamati hiyo ya ccm inamaanisha kwamba ni mwanaccm.
Kwa uteuzi huu bado sitarajii kuona JWTZ ikijitenga na siasa chafu dhidi ya wapinzani.
 
Huko tulipotoka kila mtu alikuwa mwana CCM hata Mtei, Slaa nk

Sasa kukosa imani kwako kusiishie kwa Ndomba tu.
 
Where is that Abdulrahman Shimbo, he took much and left Brigadier General Chacha Igoti empty, while Chacha was the The Head of all Operations in Comores Islands.
 
Kwani kupewa hvyo vyeo mpaka wapandishwe kuwa sijui ma luten, na kama ni hivyo kwani hakuna waliofikia huo u luten wapewe hizo nyazifa? naomba kujuzwa bandugu
Aisee inaonekana lazima kwanza uongoze JKT. Wale JWTZ walokuwa na cheo kama cha huyo kabla hajapandishwa inakula kwao

Kuhusu kupandisha cheo mantiki yake ni kwamba kijeshi "The Leader is Always Right" mwenye cheo zaidi yako hakosei na hata akikosea tekeleza amri kwanza halafu malalamiko baadae.
 
Disgusting. CDF, from JKT. Chief of staff, from JKT. Hawa kweli ni wapiganaji?

aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha miaka fulani ya nyuma huyu Mzee Ndomba. Swali langu hapa ni kwa nini hawa watu wanawekwa kwenye position za kisiasa ili hali ni maafisa wakubwa bado ndani ya jeshi letu?
 
Nafasi za kazi za ukuu wa mikoa na wilaya zimeisha? au ndio anasubiriwa kazi nyingine apangiwe na Vasco? Time will tell, anyway thanks for serving our nation Mr Shimbo. Sasa nenda katafune zile pesa za kifisadi kwa umma na kisu
 
Hivi hili jeshi lilikuwepo wakati lile dege la waarabu linatua, kuiba na kutorosha mamia ya wanyama au wajeshi wote walikuwa Darfur na Lebanon kwenye mishemishe za kifreemason kimataifa zaidi au??!! Mazingaombwe tupu.
 
mm nadhani Shimbo aturudishie zile mabilioni aliyoficha Afrika kusini, si tuliambiwa alificha, afikishwa mahakamani ili haki itendeke. kama hatapelekwa tutamtafuta wakati ukifika na kumshitaki
 
Chief of staff mpya is not the right choice and in the matter of fact it is a snub to carrier commanders....within five years ....Ndomba amepanda cheo toka Mkuu wa Mkoa....,Kanali,brigedia jenerali ,(chief of personel), CN - chief of national service ,Maj general ..this year and yesterday Luteni Jenerali....
Ndomba is just a political commiser...Kama JK...bora Shimbo ni carrier.....,kozi stahiki za makamanda wa juu wa TPDF...Iitwayo ....NDC.....alipelekwa karibuni tu....wakati kuna wenzake wamefanyaa hiyo kozi toka wakiwa makanali....,wamepiganisha operesheni ..etc.....vitu ambavyo Ndomba hajafanya....... It's a blow kuweka wanasiasa kwenye kazi proffessional just kwa kuwa ni washkaji.......kuna makamanda KAma Wescesilous Kisampa,,hamad Kijuu,..Na Rioba...ambaye amepelekwa PMO kuratibu maafaa kwa kuwa in military seniority Ndomba asingeweza kuvaa...u Luteni general akawaruka yeye na Kisampa ....ambaye alipelekwa Dafur kupiganisha..majeshi ya Africa .........Ndomba hajaanza kufanya operesheni hata moja ya kijeshi Kama kamanda Mkuu ...so simply ni mwanasiasa na ni mweupe.
 
Niliposoma Statement ya Ikulu jana, moja kwa moja nilihisi kuna tatizo na uteuzi wa huyo Ndomba. Statement inasema rais alimpa (Ndomba) cheo ya Luteni Jenerali wakati huo huo akateuliwa kuwa mnadhimu mkuu! Kwa maana nyingine bila ya kuwa na hicho cheo cha Luteni Jenarali, Ndimbo asingeweza kukalia kiti cha unadhimu mkuu. Na maswali niliyokuwa nayo ni haya:

1. Cheo cha U-leteni Jenerali kinapatikanaje, kwa kuteuliwa na rais? au mafunzo pamoja na experience vinatakiwa?

2. Ndani ya Jeshi letu, hakuna mtu mwingine mwenye sifa ya kuwa mnadhimu kwa maana ya kuwa na cheo cha U-Luteni Jenerali? Kulikuwa na sababu gani za ku-fast track 'qualifications' za huyu Ndomba?

3. Kubwa zaidi - Morali ya Jeshi ikoje baada ya huu uteuzi? Tunajua kwa muda wa miaka kama 6 sasa Jeshi hili limefanikuwa kuvuruga kabisa sifa iliyokuwepo hapo awali, sasa huu uteuzi unaliacha wapi Jeshi kwa ujumla?
 
mh Afande Ndomba mimi nilifukuzwa kwa uonevu jeshini na afande anaitwa luteni BAZICHA alikuwa pale STONE QUARRY KUNDUCHI,mkuu embu naomba ufatilie haki yangu naamini wewe mpenda haki na mcha mungu,namba yangu ni 0767295474
 
Hii ni hatari sana kwa ufanisi wa jeshi letu. Nashangaa sana kuendelea kuwapa vyeo na mamlaka kuu Wananasiasa katika jeshi. Kuhusu uteuzi wa huyu kada wa CCM, hapa rais anatengeneza mazingira ya jeshi kutumikia chama tawala.

Sidahani kama tunaipenda nchi yetu kwa dalili hii ya kuharibu jeshi letu. Kuna wanajeshi wengi wanaumia sana na haya maamuzi ya kisiasa.

Hapa ni failure nyingine kwenye uteuzi wa nafasi yenye unyeti katika jeshi letu.
 
FJM,

..kutokana na ukubwa wa jeshi letu ndiyo maana inalazimisha Chief of Staff kuwa na cheo cha Lt.Gen.

..enzi za Sarakikya mkuu wa majeshi alikuwa na cheo cha Brigedia na mkuu wa utawala alikuwa ni major.

..kwa uelewa wangu askari akifikia nafasi ya major general basi anaweza kuteuliwa kuwa mkuu wa majeshi, au mkuu wa utawala jeshini.

..ni uamuzi wa Raisi na Amiri Jeshi Mkuu kuamua ni yupi kati ya major generals anafaa kushika wadhifa wa mkuu wa majeshi, au mkuu wa utawala jeshini.

NB:

..kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu retirement ya Lt.Gen.Shimbo na uteuzi wa Lt.Gen.Ndomba.

..Shimbo ame-retire baada ya kufikisha miaka 60, Ndomba naye ameteuliwa akiwa na miaka 58.

..je,Lt.Gen.Ndomba atatumikia kwa miaka 2 tu halafu astaafu?

..pia kuna utamaduni/mazoea kuwa mkuu wa majeshi huondoka madarakani na mkuu wa utawala waliyetumikia pamoja. the only exception ninayoikumbuka ni Waitara kuondoka, na Mwamunyange[mkuu wa utawala] kuwa promoted kuwa mkuu wa majeshi.

..je, ina maana Gen.Mwamunyange ataondoka na Lt.Gen.Ndomba? When is Mwamunyange retiring, he is only 53? Je, Lt.Gen.Ndomba atapewa mkataba kuendelea na kazi hata baada ya kufikia umri wa kustaafu in 2 yrs??
 
Ndugu yetu Ndomba, tunakusihi Jeshi la WANANCHI Tanzania liendelee kubakia kuwa mali ya WANANCHI na wala si mali ya CCM tena kwa kipindi chochote kile hasa wa uchaguzi.

Ziara ya kwanza nenda ukatembelee Ziwa Nyasa na ukanywe chai pale Domira Bay nchini Malawi, ukale chakula cha mchana pale Olivenca nchini Msumbiji kabla ya kuja kusuuzia na wali manukato wa pale Kyema na kulala huko huko hadi kesho yake.

Matumaini yetu ni kwamba Kaka Denisi Mwamnyange atakua amepata msaidizi wa kutumainika na wala si kuendeleza tu siasa za ma-ofisini.

Jicho letu liko nje mkuu hadi siku ya kuvishwa kwako wewe taji kwa 'kazi nzuri' wakati wa kustaafu kwako na wewe.
Kaka Denisi Mwamunyange ndo nani na wewe? au unamuota Davis Mwamunyange ambae ndo CDF
 
Ni vigumu sana kwangu kuunga mkono au kupongeza teuzi za Kikwete. Tusubiri tuone Ndomba ni nani na anafanya nini kwa JWTZ na nchi kwa ujumla.
 
Kwani kupewa hvyo vyeo mpaka wapandishwe kuwa sijui ma luten, na kama ni hivyo kwani hakuna waliofikia huo u luten wapewe hizo nyazifa? naomba kujuzwa bandugu
Lieutenant General ni mmoja tu mkuu, ndio maana akistaafu lazima mtu apandishwe cheo ili ashike huo wadhifa, same to General (CDF).
 
..kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu retirement ya Lt.Gen.Shimbo na uteuzi wa Lt.Gen.Ndomba.

..Shimbo ame-retire baada ya kufikisha miaka 60, Ndomba naye ameteuliwa akiwa na miaka 58.

..je,Lt.Gen.Ndomba atatumikia kwa miaka 2 tu halafu astaafu?

..pia kuna utamaduni/mazoea kuwa mkuu wa majeshi huondoka madarakani na mkuu wa utawala waliyetumikia pamoja. the only exception ninayoikumbuka ni Waitara kuondoka, na Mwamunyange[mkuu wa utawala] kuwa promoted kuwa mkuu wa majeshi.

..je, ina maana Gen.Mwamunyange ataondoka na Lt.Gen.Ndomba? When is Mwamunyange retiring, he is only 53? Je, Lt.Gen.Ndomba atapewa mkataba kuendelea na kazi hata baada ya kufikia umri wa kustaafu in 2 yrs??

Mapungufu yaliyo kwenye mahakama sasa yanahamia Jeshini. Kama Ndomba ana miaka 58, na umri wa kustaafu ni miaka 60, what do that say about the huu uteuzi?
 
Sio Luteni Kanali , wananchi wamempandisha cheo na kuwa Amiri jeshi mkuu wa Jamhuri ya TZ. Ndio maana na yeye anatoa vyeo kwa wa chini yake.

Jk ni kanali tu, hajatufikia mabrigedia na majenerali. Makanali huwa hawapandi cheo baada ya kufanya mapinduzi? Umemsahau kanali maarufu Gadafi? Hakuwahi kupanda cheo tena kama gadafi wetu
 
JokaKuu

Heshima yako mkuu,kwanza asante kwa uchambuzi hapo juu

......nilikua katika research fulan ya maswala ya ulinzi Afrika nikakutana na andiko linazungumzia "complexity'' ya hierachy ya TPDF

Naomba kujua nafasi ya TPF (Polis) kwenye JW na je IGP ni sawa na COS?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom