Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Naomba nielemisheni wana JF mimi hufikiri kuwa JKT ni jeshi dogo kwa JWTZ sasa mtu wa JKT kuingia JWTZ hivi inakuwaje?
Disgusting. CDF, from JKT. Chief of staff, from JKT. Hawa kweli ni wapiganaji?
Naomba nielemisheni wana JF mimi hufikiri kuwa JKT ni jeshi dogo kwa JWTZ sasa mtu wa JKT kuingia JWTZ hivi inakuwaje?
Jeshi ni moja (TPDF) ndani yake kuna Makao Makuu ya jeshi na kamandi nne ambazo ni kamandi ya nchi kavu, ya anga, ya majini na JKT. Mwanajeshi yeyote anaweza kupewa majukumu katika mojawapo ya hizo kamandi kama itakavyoonekana inafaa.
Hii kamandi ya JKT ilianzishwa kisiasa zaidi baada ya vijana wa TANU kutoa ushauri huo. Lengo kuu lilikuwa ni kujenga uzalendo.
Ahsante kwa maelezo, sasa hawa JKT si tungewatumia kujenga miundombinu ya nchi kama jina lao linavyojieleza badala ya kukaa tu huko maporini wanakula bure!
Asasi pekee nchini ambayo nahisi bado haijaingiliwa na uoza wa haya mawili ni jeshi, hasa katika ngazi za juu kama hii ya Unadhimu Mkuu wa Jeshi. Nasema hivi kwa sababu jeshi la ulinzi halishughuliki na [mambo ya ki] raia moja kwa moja tafauti na jeshi la polisi ambalo hupokea amri za wanansiasa.Tatizo lililokuwa limelikumba jeshi letu la ulinzi ni madai ya uingizaji wa siasa jeshini, na chembe za udini kushamiri ndani ya jeshi.
Ahsante kwa maelezo, sasa hawa JKT si tungewatumia kujenga miundombinu ya nchi kama jina lao linavyojieleza badala ya kukaa tu huko maporini wanakula bure!
Hongera yake, huyu Samuel Ndomba alishawahi kuwa mkuu wangu wa wilaya. Na sasa mtoto wake Allan ni mwanasheria wetu dah!
Ana sifa ndio maana kateuliwa si kwa sababu ya Ukristo, ndugu zangu kwa huu udini wenu hamtafika kokote.
Allan huyu ndiye aliyemaliza Tambaza?
Political will ndiyo inayokosekana otherwise vijana wako tayari kwa kazi ya kulijenga taifa lao.
Mkuu, kuna wakati tulianzisha shughuli za kujitolea kitaalam katika shughuli mbalimbali za serikali, huwezo amini jinsi tulivyopigwa vita na wale tunaotaka kuwasaidia ingawa wao walikuwa wanalipwa posho sisi tunafanya kazi ya kujitolea bure, lakini walikuwa wanatuona kama maadui. Mwishowe wakatupa live kuwa hawahitaji msaada wetu. Hiyo ndio Tanzania na watu wake!!!
Asante kwa taarifa mkuu Maxcence, hopeful ameteuliwa kwa stahili na hana mrengo wa kisiasa!!! Yaani kutumikia chama badala ya wananchi.
jifunze kutoropoka kwa kitu usicho kijua.Nani kakwambia kuwa askari wa JKT wanakula bure?au unataka kila wafanyalo watoe taarifa kama mbunge?
Ndiyo! Mnadhimu wa JWTZ lazima awe Luteni Jenerali na Mkuu wa JWTZ lazima awe Jenerali!Kwani kupewa hvyo vyeo mpaka wapandishwe kuwa sijui ma luten, na kama ni hivyo kwani hakuna waliofikia huo u luten wapewe hizo nyazifa? naomba kujuzwa bandugu
Inawezekana uko sahihi kwa kusema kuwa jeshi letu ni kubwa mno lakini si sahihi kuwa wanafanya paredi tu!Lets say they are being underutilised will that be okay with you?
Ukiangalia namba ya wanajeshi tulionayo na gharama tunazotumia kwenye jeshi unadhani ina justify ukilinganisha na umaskini huu? au ulifikiria kula nazungumziwa ugali tu?
Zaidi ya kwenda kwenye parade na kurudi home hebu nambie kazi nyingine kubwa zinazofanywa?
Inawezekana uko sahihi kwa kusema kuwa jeshi letu ni kubwa mno lakini si sahihi kuwa wanafanya paredi tu!
Ili ufanye jeshi letu liwe dogo na madhubuti ni lazima wawe na zana za kisasa ambavyo vinakuwa operated na watu wachache lakini kama hakuna zana za kisasa za kutosha ni lazima kuwa na jeshi kubwa kwa maana ya idadi ya watu!
Kwa sasa jeshi letu linafanya kazi nzuri sana katika nyanja za kimataifa kwa kufanya kazi za kulinda amani. Hata hapa nchini hali hii tuliyonayo ni kutokana na nidhamu ya hali ya juu ya jeshi letu otherwise kungekuwa na hekaheka kila mahali!
Labda wewe unajua!asilimia 40 nyingine tukampigia kura mtu ambae hatujui kwa nini alivuliwa upadri!