Tatizo lililokuwa limelikumba jeshi letu la ulinzi ni madai ya uingizaji wa siasa jeshini, na chembe za udini kushamiri ndani ya jeshi.
Simujui kwa undani Jenerali Ndomba, lakini kwakifupi inatajwa kuwa huyo ni moja ya masalia imara ya vijana wa Mwalimu Nyerere walioamini katika UZALENDO.
Nimtu mashuhuri mwenye uso wa kijana akijitunuku tabasamu la nidhamu ya kijeshi, wadadisi ndani ya SIASA za kijeshi wanamtaja kuwa ndie mrithi stahiki wa Mkuu wa Majeshi Aden Mwamunyange.
Anatajwa kuwa ni kijana na tokezo la akina Jen Waitara, Jen Mboma na Jen Mwamunyange.
Naamini katika safari hii iliyo ndefu na inayokaribia ukingoni yakulikomboa Taifa letu, General Ndomba asiwe kikwazo wa mageuzi haya ya kiraia yenye kuongozwa na alama za nyakati ambazo kihistoria na kimaandiko hazijawahi kupingwa kwa mtutu wala kombora.
....hivi kuna kamanda aliyewahikuwa Mnadhimu Mkuu halafu akapanda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi?.....Mkuu Phillemon Mikael hebu tupe midataz............
Last edited by a moderator: