GEITA: Mkuu wa Mkoa amzuia Naibu Waziri kuzindua filamu ya 'Magwangala'

Tukiacha ushabiki Wa kimihemuko na kutekeleza neno halisi LA UZALENDO na kuacha hili LA kinafiki uzalendo uchwara hiyo filamu sidhani kama itatusaidia katika mapambano ya kiuchumi na rasilimali zetu, Bali itatuonesha watu Wa hovyo.

Ukada na ukurupukaji Wa nami nionekane utatugarimu sana, maana wengi Wa wakurupukaji hawajui kwa undani Wa jambo. Niulize tu kwa kutaka kujua, Je, toka tamko LA Magwangala litoke utekelezaji wake umekuwaje? Na kama halijatekelezwa nini kimekwamisha? Je, kiusalama Wa mazingira na utunzaji hilo liliangaliwa?

Sijaijua maudhui ya ndani ya filamu hiyo, ila nachelea kuiunga mkono kwa maslahi ya nchi.
 
Kuna idara au bodi, yenye dhamana ya kukagua na kupitisha filamu kabla ya kuoneshwa. Nje ya hapo ni kujipa madaraka.

Watendaji wa serikali washukuru maamuzi ya mahakama wana jeuri ya kuyakaidi, kama mh idaiwavyo alisema hatalipa billions za Madabida. Wanajua hata wakishitakiwa na kutakiwa kuwalipa wadai, hawalipa.
 
Kimamlaka mkuu wa mkoa ni level moja na waziri na mkuu wa wilaya ni sawa na naibu waziri.
Ana mamlaka ya kufanya hivyo endapo ataona kuna ukakasi.
 
Kwani Hujui Mkuu Wa Mkoa Ni Mkubwa Kuliko Pm Na Makamu Wa Rais? Refea Ishu Ya Mrisho Gambo Na Pm Majaliwa Kuhusu Mashne Za Umwagiliaji Mangola Karatu,na Ishu Ya Msba Wa Lucky Visent Pale Uwanja Wa Sheikh Amred Abed Karume Alivyomgomea Makamu Wa Rais.Imefika Mda Tuwatambue Kuwa Wapo Juu Ya Mawaziri Napia Pm Au Wapewe Semina Elekezi Kuwa Wawe Wanasubject Kwa Mawaziri,otherwise Kuna Mtu Anawapa Kiburi Wafanye Hvyo
 
Watanzania wengi ni majitu maongo maongo na mazushi.
Unauaminisha umma kuwa GGM inamilikiwa na ACACIA ?!!! una uhakika na hilo? ama lengo lako ni nini hasa?
Ndiyo maana Mkapa anawaita ni wapumbavu & malofa.

-Kaveli-
 
Kwani Hujui Mkuu Wa Mkoa Ni Mkubwa Kuliko Pm Na Makamu Wa Rais? Refea Ishu Ya Mrisho Gambo Na Pm Majaliwa Kuhusu Mashne Za Umwagiliaji Mangola Karatu,na Ishu Ya Msba Wa Lucky Visent Pale Uwanja Wa Sheikh Amred Abed Karume Alivyomgomea Makamu Wa Rais.Imefika Mda Tuwatambue Kuwa Wapo Juu Ya Mawaziri Napia Pm Au Wapewe Semina Elekezi Kuwa Wawe Wanasubject Kwa Mawaziri,otherwise Kuna Mtu Anawapa Kiburi Wafanye Hvyo



Yote hii ni sababu ya mamlaka ya uteuzi. Ila nadhani pm hakutaka tu mvutano maana ofisi yake na ofisi ya rais ni hatua chache tu
 
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga amemzuia Naibu Waziri wa Habari, Anastazia Wambura kuzindua Filamu ya 'Magwangala' kwa madai ya filamu hiyo kuwa na maudhui yanayoutia doa Mgodi wa Geita Gold Mine(GGM).

====

Ndugu wanaJF, tukumbuke kuwa GGM inamilikiwa na Kampuni ya ACACIA.

Lakini cha kushangaza zaidi ni kuwa Mkuu wa Mkoa na Naibu Waziri Wote ni Presidential appointees(Wateule wa Rais) hii inazua maswali juu ya mawasiliano ya viongozi Serikalini.

Pia kwa siku na miezi ya hivi karibuni Wateule wa Rais hasa Wakuu wa Wilaya na Mikoa wamekuwa wakilalamikiwa kutumia maguvu hasa kwa wapinzani na sasa imeenda kwa wateule wenzao..
Correction:GGM inamilikiwa na Angrogold ashanti na si ACASIA!
 
Serekali yote haina Coordination unategemea naibu waziri na Rc wawe na coordination?
Watu humu mnaugonjwa wa mtu akipost kitu, bila hata kuelewewa details mnaruka na conclusions. Tena ukichanganya na tabia yetu watz ya kujifanya wajuzi wa kila fani ( jacks of all trades), basi ni balaa zaidi.
 
Na bado mtakulana vichwa wenyewe kwa wenyewe kudadeki dikiteta uchwara anatengeneza vijidikiteta vidogovidogo
 
Back
Top Bottom